Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,410
- 3,678
sipati picha vile unaumia kwa roho...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.Kama sio sisi wakenya kua hapa JF ingekua inaboo sana
Pole kwa povu. ....nitakununulia bajia roho itulie.
Yaani wewe huna hata miezi mitano hapa JF unajifanya mjuaji hivyo? Usiwe na akili za mbayuwayu, jaribu hata kuangalia mada za mwazo mwanzo za hii Kenyan forum uone zilianzishwa na nani. Kwa taarifa yako tuu; vagi letu na nyinyi lilianza miaka ya kati hapo hasa 'Gezaulole' alipolianzisha kwasababu ya baadhi yenu kujifanya wajuaji .
Kabla ya hapo habari za kenya zilikuwa zikibandikwa 'international forums' na Watz, baada ya kuchoka kujadili siasa za ndani. Watu walipumzika 'international forums' kujadili mada mbalimbali za nje ya Tz, Wakenya wengi kama wakina 'smatta', 'Ab_Titchaz' na 'nomasana' tulikuwa tukijadiliana kishkaji na utani wa hapa na pale, hakukuwa na majigambo wala matusi (ni kama tunavyojadiliana na mwenzenu 'MK254').
Tatizo ni baadhi yenu watu wa ushagoo mliojifunza kutumia mitandao jizujuzi na kutoa tongotongo ndo mnatokwa na mapovu hapa, sitashangaa kama mmejifunza haya mambo ukubwani na kufikiri dunia yote inaizunguka Nairobi.
So do weYou should know that msa to Nairobi rail is 600km ..but msa to Nairobi is 427km...some sections of the rail are double,triple or more majorly in stations
if dongote is experiencing some unfair situations to trade with tanzania,then convince him to shift his capital to kenya."Tanzania Govt has scared quite a lot of investors & its not a good thing to do. Once an investor complains the rest will run away"
Aliko Dangote
British firms target Nairobi contractorsif dongote is experiencing some unfair situations to trade with tanzania,then convince him to shift his capital to kenya.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
That's what your brother couldn't complementSo do we
Details please.
Xinhua tower Kilimani, 17 floorsDetails please.
Xinhua tower Kilimani, 17 floors