The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
So far kuna scandal gani ya wizi?Umesema sahihi..kosa lake moja ni kuwaachiwa watu wanaiba afu hafanyi chochote so kiti chake kinaonekana dhaifu hakiogopwi
Type2 diabetes hawatumii insulin hua tunawapa dawa za kupunguza mafuta(Anti lipidogenesis)Unajua carbohydrates tunayokula ikiwa nyingi inabadilishwa kua fat kama storage kwenye mwili,sasa ile process ya kuendelea kubadili carbohydrates kua fat inaitwa lipogenesis hii ndio tunaenda kuivunja ili kue na kiwango sahihi cha mafuta mwilini ili kusaidia Kongosho lako liweze kufanya kazi yake kwa ufanisi,Sambamba na kubadili mtindo wa maisha kwasababu as we age ufanisi wa mwili nao unapungua.Hivi kwa nini wanahimiza watu wenye type 2 diabetes watumie tuu insulin maisha yao yote badala ya kubadilisha style ya maisha? Wakifanya mazoezi (cardio), faida watakazozipata ni nyingi zaidi, mfano;
- Coronary collateral circulation (mishipa mipya ya moyo hutengenezwa mwilini, huzuia mshtuko wa moyo).
- Insulin sensitivity (mwili kutengeneza na kuimwaga insulin kwenye damu haraka).
- Reduction in cortisol levels (mazoezi yanasaidia ubongo kutengeneza endorphins, inapunguza stress).
- Lowering blood pressure, resting pulse rate.
- Reduces the size of atherosclerotic plaques (mafuta kwenye kuta za mishipa ya damu).
- Increase in capillary density (mwili kufanya kazi vizuri, mfano kuzuia magojwa).
Asante kwa maelezo yako muruwa.Type2 diabetes hawatumii insulin hua tunawapa dawa za kupunguza mafuta(Anti lipidogenesis)Unajua carbohydrates tunayokula ikiwa nyingi inabadilishwa kua fat kama storage kwenye mwili,sasa ile process ya kuendelea kubadili carbohydrates kua fat inaitwa lipogenesis hii ndio tunaenda kuivunja ili kue na kiwango sahihi cha mafuta mwilini ili kusaidia Kongosho lako liweze kufanya kazi yake kwa ufanisi,Sambamba na kubadili mtindo wa maisha kwasababu as we age ufanisi wa mwili nao unapungua.
Wanaohitaji insulin ni wale ambao wamerithi ugonjwa na dalili zake huonekana mapema sana na tunawapa insulin kwasababu pancreas zao hazizalishi insulin ama zinazalisha kidogo sana ambacho hakitoshelezi...
Dalili zake ni kua na kiu sana,njaa sana hata kama amekula, na kukojoa sana...
Hayo yanatokea kwasababu insulin kazi yake ni kuruhusu glucose iingie kwenye cell zako ili iweze kubadilishwa kua nguvu,sasa unakula chakula alafu ile glucose inaelea tu kwenye damu inapelekea wewe kukosa nguvu,damu kua too concentrated nk
Hahaha, unajua maana ya maendeleo?, hizo trains za zamani tulishatupa na kuziweka pembeni, we have bought new trains which are the best in Africa, lazima ukubali kwamba Tanzania ya sasa sio "level" yenuWhich Africa? Please bruh stop dragging us into this...View attachment 2468388View attachment 2468389View attachment 2468390
Hapa wamepigwa na Wachina maana mchina anajua kucheza na akili zao. Mchina anajua kabisa hawa jamaa wanapenda majengo na hapo ndipo alipowapigia bao.Kwahiyo mnajenga fancy station kwa reli ya yenye 120years old? Kweli priorities za Wakenya ni mwendawazimu.
je
Kuna kipindi waziri alisema baadhi ya maeneno itakwenda mpaka 200km / hr alikua na maana gani??Haiwezi kwenda 220km/hr, max ni 160km/hr.
Ili iende hiyo speed unayotaka inabidi kona na miinuko irekebishwe
Sio mm niliosema aliesema ni waziri mbarawa sasa nafurahisha jukwaa nipate faida gani??? Alisema kuna baadhi ya maeneo reli itakwenda mpaka 200km / hr eti nifurahishe jukwaa kwani nalipwa humu ndani 😆😆😆😆Acha uongo wa kufurahisha jukwaa
Mchina anaingilia wapi hapa?Hapa wamepigwa na Wachina maana mchina anajua kucheza na akili zao. Mchina anajua kabisa hawa jamaa wanapenda majengo na hapo ndipo alipowapigia bao.
Fancy stations ni ku justify the cost of the project while the primary infrastructure is below par. Kumbuka watu hawafuatilii ubora wa reli maana wengi wao hizo technicalities hawazijui ila Jengo linaonekana vizuri sana na huwa kama symbol ya infrastructure hivyo mchina nae kapita hapohapo.
Another angle[emoji23]View attachment 2468666Umbali kama huo kwa hapo NAIROBI ni katikati ya mbuga za wanyama.. and we also develop this area Sinza [emoji116]some 10 km away from PostaView attachment 2468098View attachment 2468100View attachment 2468101View attachment 2468103View attachment 2468342View attachment 2468344View attachment 2468345View attachment 2468346
Umbali kama huu Dar sehemu zingine uko baharini.Umbali kama huo kwa hapo NAIROBI ni katikati ya mbuga za wanyama.. and we also develop this area Sinza 👇some 10 km away from PostaView attachment 2468098View attachment 2468100View attachment 2468101View attachment 2468103View attachment 2468342View attachment 2468344View attachment 2468345View attachment 2468346
Kwani waliojenga hiyo rail ni nani kama sio Mchina? Kama hutaki basi viongozi wenu ndio wamewapiga kwenye hiyo rail.Mchina anaingilia wapi hapa?
Unafikiri Kila k2 ni special sio[emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2427783
Economic hub haina hata simple transport systems [emoji849] such as BRT [emoji1787][emoji1787][emoji1787].The economic hub of East Africa
View attachment 2468578
Lete hayo maelezo, mimi speech zote za kadogosa Nimesikiliza, alisema inaweza kwenda up to 250km/hr kama ikihitajika kwa kufanya marekebisho kidogo kwenye njia ya reliHapana our rail track specification inaruhusu train kwenda speed zaidi ya hiyo! Pitia maelezo ya Kagodosa!