Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijakuelewa sana kinachokusumbua. Hebu jaribu kutueleza unataka kusema nini hapa?
 
Wajinga ndio waliwao 🤣🤣🤣🤣
Bei za dunia hzi hapa ww unaniletea bei za kenya kama munapigwa tuwasaidie vp
 
Bei za ulimwengu 😆😆😆 ww unaniletea bei za kenya je kama munapigwa sisi tuwasaidie nn
 
Bei za ulimwengu 😆😆😆 ww unaniletea bei za kenya je kama munapigwa sisi tuwasaidie nn
View attachment 2466666
Leta bei za bongo, wacha kujifanya mjuaji. Hakuna mtu hajui magari ulaya hua cheap. Na hio umepost hapo ni LX570 kumbe hata lexus huzijui, ndio maana hujui Lexus is a luxury brand while Toyota is not. Unajiaibisha mbele ya dunia.
 
Mim sina upande kwenye battle yenu. Lkn hizi chini ni kodi TRA watakutoza ukileta hayo magari nchini
Lexus 600

Land cruiser 300
 
Kitu nashangaa tulikua tunaongelea kuhusu DT dobie sasa sijui umerukia wapi tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli akili ni nywele nisije kua nabishana na mtu hana nywele kichwani ana nywele za kwenye kende
Kama unajua tulikuwa unaongelea DT Dobie mbona basi ulikuwa mwepesi kutaja kampuni ya GF Tanzania? GF Tanzania iko na uhusiano gani na DT Dobie ndio uitaje mahali DT Dobie unaongelewa? Sasa si unaona wewe ndio umebakisha nywele kwenye kende zako tu!!
 
Mim sina upande kwenye battle yenu. Lkn hizi chini ni kodi TRA watakutoza ukileta hayo magari nchini
Lexus 600
View attachment 2466753

Land cruiser 300
View attachment 2466755
Good, wewe ndio umejua wachana na huyo mwarabu bandia wa kuokota takataka kwa mtandao. Just to note the LX 600 F Sport trim is a mid level trim and it's more expensive than a GR Sport which is the 2nd most expensive trim on the LC 300 series, only the sahara ZX slots above it in terms of specs and pricing. While the LX 600 has the luxury and ultra luxury trims which slots above the F sport in terms of pricing and specs.
 
We mshamba hapo jamaa kalinganisha mayai ya kienyeji na kisasa hiyo land cruiser aliyoiweka ni ya 3.5 litre engine halafu ni GR sio VX .
 
We mshamba hapo jamaa kalinganisha mayai ya kienyeji na kisasa hiyo land cruiser aliyoiweka ni ya 3.5 litre engine halafu ni GR sio VX .
Mkuu, kwanza ujue namiliki hilo gari toka juzijuz tu (specifically kujibrand kicompany kwa clients, lazima tuwe kicorporate) 😀..
Pili hakuna LC la 300 lenye engine zaid ya 3.5L
Tatu GR ni ghali kilo VX
 
Kupanga ni kuchagua wao wameamua kuwalimia wazungu maua ndivyo akili zao zilipoishia hapo tusiwalaumu sana tuwasaidie na msosi tuu maana jirani hakimbiwi.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mada za humu ndani kuna wakati zinachanganya,
Ni kana kwamba kila mtu ana hela nyingi,gari kali,nyumba kali ama anaishi mtaa mkali...kila mtu kasoma best uni na anafanya kazi ofisi kubwa [emoji2][emoji2][emoji2]...Anyway tuendelee kunyooshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…