Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Registration means nothing, ownership is what matters. Hapa mtasema ni Kampala. 😂😂😂


Sikieni hili jinga 🤣🤣🤣 eti registartion means nothing unalazimisha gari ya uganda iwe ya kenya
Screenshots_2022-12-30-20-18-43.png
 
🤣🤣🤣🤣Enda uskie vibaya na huko.
Unalazmisha kenge awe tembo 🤣🤣🤣 na hii tabia ya kulasmisha jambo linawasaidia mm manake dunia ya leo utamdanganya nani hata mdudu huwez mdanganya
 
And it never crossed back the boarder again.🤣🤣🤣🤣 Lamborghini Urus yakina Joho nayo mutasema ni yenu.
And it never crossed the boarder again.🤣🤣🤣🤣 Lamborghini Urus yakina Joho nayo mutasema ni yenu.
Ukinionesha ina plate number ya kenya njoo unitag mara moja nifunge acc🤣🤣🤣 na labda nikuulize hii gari utasema ni ya kenya

 
Ukinionesha ina plate number ya kenya njoo unitag mara moja nifunge acc🤣🤣🤣 na labda nikuulize hii gari utasema ni ya kenya

Hii sio ya Kenya, hio Lamborghini we all know the owner na ni Mkenya na anaishii Kenya.
 
Back
Top Bottom