ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
we endelea kuota wabongo sio watu wakuonesha renders we tulia tu utashangaa😀😀😀😀hehe hata afadhali ungeleta renders tuzione..naona mzee bald tu sioni stadium.
we endelea kuota wabongo sio watu wakuonesha renders we tulia tu utashangaa😀😀😀😀hehe hata afadhali ungeleta renders tuzione..naona mzee bald tu sioni stadium.
refer to the early stages of the thread...kuna basi nyingi sana....ulikua unarudia rudia tu...ndio maana wakakuangalia kama chizi..![]()
![]()
watanzania wengi wanakuja na kusema ukweli ila kina uchiboy wanawatusi na kuwakejeli...duh!!![]()
![]()
si mtu anajieleza tu...mtz amrukiwa na matusi kwa kusema eti Kenya wamewashinda...![]()
![]()
mkubali tu ukweli![]()
![]()
BTW, no Kenyan has ever come here to say such things...![]()
achana nae huyo akikua ataacha na ukiona mtu anaongea sana ujue kazidiwaunawajuaje kma ni wa Tanzania???don't trust only words
200km hii yetu 450 kmMchina ni hatari kwa afya😀😀😀😀😀 weka mbali na watoto ama kweli vyuma vimekaza😛😛
Tanzania building electric rail at half price of Kenya’s diesel Standard Gauge Railway line
441+300=741 isome vzr kaka usichanganyikiwe bado mapema 😀😀😀😀😀😀200km hii yetu 450 km
We unapost vitu vya kichina tuna battle nini hapo... Post benz ama scania, Man, volkswagen ndipo tutafikiana.... Kenya hauna hizo za Chinese so hapo mmetushindaAfu nyie Kenya acheni dharau mbona nilipost bus kibao za Tz ila sijaona mkibattle hapo embu tupieni macoaches yenu tuone
When the deal is too good, think twice.441+300=741 isome vzr kaka usichanganyikiwe bado mapema 😀😀😀😀😀😀
phase 1=300 km phase 2= 441km....hesabu inakusumbua sana😛😛😛😛😛
tanzania sio nchi ya kujisifu ila habari mtaisoma tu 😀😀😀😀😀😀😀😀When the deal is too good, think twice.
Cheap is expensive. (unaelewa hapo?)
Btw Ningependa kuona termini yenu itakuwa vipi na mangapi. Meanwhile Nairobi - Naivasha is starting to take shape.
A few years to come this area will become the times square of Africa. Filled with outdoor advertisements boards.
![]()
Kama ni phrase zote yetu inafika 1k msee441+300=741 isome vzr kaka usichanganyikiwe bado mapema 😀😀😀😀😀😀
phase 1=300 km phase 2= 441km....hesabu inakusumbua sana😛😛😛😛😛
Dar to morogoro is 170 km.441+300=741 isome vzr kaka usichanganyikiwe bado mapema 😀😀😀😀😀😀
phase 1=300 km phase 2= 441km....hesabu inakusumbua sana😛😛😛😛😛