Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unadhani hizo container zimebaba ugali ama? Hio berth ina handle both cars from Roro vessels na zile ziko ndani ya containers. That's why efficiency at Mombasa port is better and faster.
Wabongo muwache ushamba bana.

Car Imports Grow More Than Four Times as Clinker, Wheat Dominate

KRA to auction luxury cars at Mombasa port

Vitu vingine wala havina haja ya kubishana, unajiaibisha.
 
Tafuta any car dealer in 2022 mwenye anaimport gari imepitisha YOM ya 2015 nikulipe.
Unless gari imetoka kiwandani leo, usishangae gari ya miaka 10 kuwa bora kuliko ile ya miaka 3. Historia ya gari ni muhumu kuliko mwaka.

Mwaka wa gari ni crude measure ya ubora. Magari yaliyotumika kwa rental au doria za polisi huwa yanakuwa mabovu baada ya miaka mitatu tuu kutumika. Wakati yale ya yaliyotumika kwa miaka 10 na mabibi wazee yanaweza kuwa bora zaidi.
 
Ndio maana hua zinafanyiwa inspection.
 
Back
Top Bottom