Nimesoma mm bearth 1 ni container na 5 pia sasa unataka kunidanganya mm 🤣🤣 alaf ukidanganya inakuaje au inabadilisha mombasa port kua na roro au??🤣🤣🤣Kimbia ulete ushahidi, maswali ya nini?? kawaida ya vilaza kama wewe ni kujitia hamnazo! berth 1 na 5 zinahandle conventional cargo, passengers na RORO. Nimekupa hadi link ya KPA. enda ubishane nao.
Where is roro🤣🤣🤣🤣Kimbia ulete ushahidi, maswali ya nini?? kawaida ya vilaza kama wewe ni kujitia hamnazo! berth 1 na 5 zinahandle conventional cargo, passengers na RORO. Nimekupa hadi link ya KPA. enda ubishane nao.
Na mambo yako wazi mbona
mbona unaandika kwa mate na wino upo?? nimekupa website ya KPA, wewe unaenda kuokota uchafu??Where is roro🤣🤣🤣🤣 View attachment 2460358
Unazingua mzee. Ubishi mwingine wa kipumbavu sasa. Usipende kushindana kila kitu. Unalazisha kitu ambacho huna. Huo ni ujinga sasa.mbona unaandika kwa mate na wino upo?? nimekupa website ya KPA, wewe unaenda kuokota uchafu??
View attachment 2460364
soma hapo juu berth no. 1 inafanya kazi gani, ingia kwenye website usome zaidi berth no.5 inafanya kazi gani.
Nakwambia bearth 5 ni general na ni general cargo lakini ro ro kama ro ro inayojitegemea hamuna ndio maana magari munashusha kokote hasa kwenye container bearth 🤣🤣🤣🤣mbona unaandika kwa mate na wino upo?? nimekupa website ya KPA, wewe unaenda kuokota uchafu??
View attachment 2460364
soma hapo juu berth no. 1 inafanya kazi gani, ingia kwenye website usome zaidi berth no.5 inafanya kazi gani.
Unazingua mzee. Ubishi mwingine wa kipumbavu sasa. Usipende kushindana kila kitu. Unalazisha kitu ambacho huna. Huo ni ujinga sasa.
endeleeni kulia, msonge pembeni musikie vibaya kabisa ...Nakwambia bearth 5 ni general na ni general cargo lakini ro ro kama ro ro inayojitegemea hamuna ndio maana magari munashusha kokote hasa kwenye container bearth 🤣🤣🤣🤣
Where is roro bearth in mombasa??🤣🤣🤣 ukipata nitag nifunge accendeleeni kulia, msonge pembeni musikie vibaya kabisa ...
Sijakwambia hamushushi magari ila nakwambia ro ro bearth hamuna labda hujanielewa 🤣🤣🤣🤣🤣 ndio maana munaeza shusha magari kwneye container bearth kama hvi ila ro ro kama ro ro bearth hamuna hilo weka akilini
endelea kubisha, maumivu yakizidi tafadhali kamuone daktari.
Kundustan njooni huku muone brt inavyojengwa mjifunze sio kutengeneza brt kwa paint brush [emoji16]
Sielewi… what’s the fuzz here … a low ranked Chinese PLA official visit… what’s your point…. We get foreign Generals and we don’t see it as a big deal…. What goes ndani ya bongo zenyu sometimes…. It’s beyond inferiority complex…
Hazina tower haijafika 20 floors!Hata huku kwetu ni hivyo tu. NSSF scaled down Hazina Towers from the initial 39 floors to the current 24 floors. There were corruption allegations though