The other side of the building Iko wapi? Train inafaa ipite katikati.View attachment 2458280
Ukiangalia hiyo picha ya chini utaona palivyoinuka.
kwa kutumia scale ya magari yaliyopaki (pickup trucks), roughly ni kama urefu wa magari mawili yakisimamishwa juu. Hivyo tunaweza kufanya assumption ya zaidi ya mita 10 kwenda juu, kama tukichukulia urefu wa Toyota Hilux (5.2m). Hivyo utaona render iko sawa kabisa.
Toyota hilux urefu (height) hauzidi 2 m!View attachment 2458280
Ukiangalia hiyo picha ya chini utaona palivyoinuka.
kwa kutumia scale ya magari yaliyopaki (pickup trucks), roughly ni kama urefu wa magari mawili yakisimamishwa juu. Hivyo tunaweza kufanya assumption ya zaidi ya mita 10 kwenda juu, kama tukichukulia urefu wa Toyota Hilux (5.2m). Hivyo utaona render iko sawa kabisa.
Wapi nimesema 2m?Toyota hlux urefu wake haufiki 2 m!
umesema 5.2 m! na nimekuambia height haizidi 2 m!Wapi nimesema 2m?
Yeah kama ulivyosema ni cladding tu , hata ukiangalia machuma yameanza kuwekwa kuzungukaHio ya juu muonekano wa nje nadhan ni cladding.. yan wataweka machuma machuma ya kuform structure nyingine ili jengo liwe na muonekano mwingine kama hiyo ya render.
Pia ndo mana katikat ya picha zote mbili kuna space imeacha..
Kwani height ndiyo urefu?umesema 5.2 m! na nimekuambia height haizidi 2 m!
wewe unazungumzia height angalia scale uliyoweka! wacha ubishi! Ukikosea kubali!Kwani height ndiyo urefu?
Urefu ni length, ukuchukulia urefu wa gari kama scale na ukiyasimamisha hayo magari kwa uwima kuelekea juu utaelewa nilichokuwa namaanisha. Spatial ability yako imeanza kuyumba?wewe unazungumzia height angalia scale uliyoweka! wacha ubishi! Ukikosea kubali!
Still umekosea huo urefu ni zaidi ya 5 m (length)! jengo lina 3 floors at over 14500 m^2 space area!Urefu ni length, ukuchukulia urefu kama scale na ukiyasimamisha hayo magari kwa uwima kuelekea juu utaelewa nilichokuwa namaanisha. Spacial ability yako imeanza kuyumba?
View attachment 2458280
Ukiangalia hiyo picha ya chini utaona palivyoinuka.
kwa kutumia scale ya magari yaliyopaki (pickup trucks), roughly ni kama urefu wa magari mawili yakisimamishwa juu. Hivyo tunaweza kufanya assumption ya zaidi ya mita 10 kwenda juu, kama tukichukulia urefu wa Toyota Hilux (5.2m). Hivyo utaona render iko sawa kabisa.
Hujasoma kwa makini nilichokiandika, nimetumia maneno kama 'roughly' na 'assumption' nadhani yanajieleza.Still umekosea huo urefu ni zaidi ya 5 m (length)! jengo lina 3 floors at over 14500 m^2!
iwe rough estimation iwe what u missed by far! hilo jengo haliwezi kuwa na length ya 10 m au 5.2 m! 10 m ni ndogo sana! kila floor ina roughly 4500-5000 sq m! na kama height (kimo) Toyota Hilux haizidi 2 m! BTW kuna standards za height of a commercial Buildings!Hujasoma kwa makini nilichokiandika, nimetumia maneno kama 'roughly' na 'assumption' nadhani yanajieleza.
I see what you mean. Is this what you’re saying?The other side of the building Iko wapi? Train inafaa ipite katikati.
Yeah, kama haipiti ndani then there's nothing special about it.I see what you mean. Is this what you’re saying?
View attachment 2458286View attachment 2458287View attachment 2458288
Kumbe mlikuwa mnapiga kelele na station yenyewe ni ndogo kuliko ya Nairobi.Still umekosea huo urefu ni zaidi ya 5 m (length)! jengo lina 3 floors at over 14500 m^2 space area!
Standard gauge ni upana wa reli kwa kipimo cha imperial (4 ft 8+1⁄2 in) ambacho wamarekani na waingereza wanakiita (imperial units) standard, kutofautisha na kile kipimo cha wafaransa cha metric.So SGR kwako ni train ama rail?
Inafaa? kwani wewe ndiyo mhandisi mshauri? Hata kwenye hiyo render utaona the other side ipo mwishoni, siyo katikati.The other side of the building Iko wapi? Train inafaa ipite katikati.
Okay. The station in Dodoma will definitely not be that way. The tracks are built along the edge of the back side of the building,. The railway is elevated because that side has a higher elevation than the front. All they’re gonna do is cover the back side so it appears as though trains are crossing into the building.Yeah
So what's the difference between your SGR na yetu?Standard gauge ni upana wa reli kwa kipimo cha imperial (4 ft 8+1⁄2 in) ambacho wamarekani na waingereza wanakiita standard, kutofautisha na kile kipimo cha wafaransa cha metric.
Then there's no difference between that Dodoma station na station ya Mombasa.Okay. The station in Dodoma will definitely not be that way. The tracks are built along the edge of the back side of the building,. They are elevated because that side has a higher elevation than the front. All they’re gonna do is cover the back side so it appears as though trains are crossing into the building.
inapita kwa ndani hata hiyo design ya mchoro unaona treni zinapita kwa nyuma! Kutakuwa na roof ina-cover mpaka reli ya kwanza! ningependa kama inge-cover reli zote!Yeah, kama haipiti ndani then there's nothing special about it.
No technical difference in terms of the width.So what's the difference between your SGR na yetu?