Hebu subirini kidogo hapa panaitwaje Teargass naomba jina tafadhali ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Vitu tulikuwa nazo kitambo ndio zinawashtua?
View attachment 2455524
View attachment 2455525View attachment 2455526
Wameagiza nguzo somalia ,zikifika mpango bado upoπ€£π€£
Ghorofa nyingi zaidi ya 90% ni za udongo alafu pia Mombasa ni kuchafu sn pengine kuliko ka Nairobi.Mombasa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiv nyinyi watu kwa nini mnasifa sana....mnafaidika nini na uongo?
Cheki mombasa halisi...kama zizi hiv
Unafikiria hizi ni zile uswazi zenu pale Dar..., Mombasa kwa wastani inalemea Dar makazi ya raiya wa kawaida.., ila both have swahili houses(uswazi), ila Mombasa has bigger standard estates za raiya, siongelei makazi ya matajiri, just normal residential estates Mombasa inazidi Dar jiji la uswazi π π π π π π π πAsante sana kwa kunifurahisha ama kweli siku ya leo nimefurah sana π€£π€£π€£π€£π€£ hii ni utumbo gani bro
Bamburi mtambo π€£π€£π€£π€£π€£ nimecheka sana yani hata access ya road sioni naona vichekesho tu bro wallah leo nimecheka sana but thanks
View attachment 2455460
Sasa kumbe umerudi nairobi kwenye ka bwawa π€£π€£π€£π€£π€£ mombasa imekosekana inamaana sasa zanzibar inashindana na nairobi seriou???ππ€£π€£Hapo ni Waterfront Karen. Tanzania is 10yrs behind Kenyaππ
Unatuletea michezo ya kwenye dimbwi!!! Ebo!!Hapo ni Waterfront Karen. Tanzania is 10yrs behind Kenyaππ
Kumbe katoka mombasa karudi nairobi kutuonesha kidimbwi hivho inamaana sasa zanzibar inashindana na nairobi π€£π€£π€£π€£Unatuletea michezo ya kwenye dimbwi!!! Ebo!!
Yaani unatuketea vitukoHapo ni Waterfront Karen. Tanzania is 10yrs behind Kenyaππ
Rudi hapa kwanza tuongeeπ€£π€£π€£Watanzania wanashangilia vitu Kenya had long time agoππ
View attachment 2455557View attachment 2455558View attachment 2455559View attachment 2455561View attachment 2455565
Mlisema hatuna watersports in Kenya. Ama Nairobi Iko Tanzania na hatujui?πππSasa kumbe umerudi nairobi kwenye ka bwawa π€£π€£π€£π€£π€£ mombasa imekosekana inamaana sasa zanzibar inashindana na nairobi seriou???ππ€£π€£
Asante kwa hasira kali kutoka bamburi mtamboni ?π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Unafikiria hizi ni zile uswazi zenu pale Dar..., Mombasa kwa wastani inalemea Dar makazi ya raiya wa kawaida.., ila both have swahili houses(uswazi), ila Mombasa has bigger standard estates za raiya, siongelei makazi ya matajiri, just normal residential estates Mombasa inazidi Dar jiji la uswazi π π π π π π π π
Eti Bamburi haina access roads..., kilaza weweππππππ, mko nyuma sana yaani mji wa pili una level na Dar na kuionyesha vumbiππππππππ.,
View attachment 2455553
View attachment 2455546
View attachment 2455548
View attachment 2455551
View attachment 2455552
Hio nayo ni water parks na swali lilikua zanzibar na mombasa sasa umehamisha magoli kutupeleka kwenye uchafu sasaπ€£π€£π€£π€£π€£ hio nayo ni water sportMlisema hatuna water park in Kenya. Ama Nairobi Iko Tanzania na hatujui?πππ
Hilo ni dimbwi mwanangu. Asante kwa kutuletea kichekesho. Nimecheka sana leo.Mlisema hatuna watersports in Kenya. Ama Nairobi Iko Tanzania na hatujui?πππ
Hvi ww uko serious kweli π€£π€£π€£π€£Mlisema hatuna watersports in Kenya. Ama Nairobi Iko Tanzania na hatujui?πππ
Angalia ulivyo mwehu ichoboy01 π π π π π una edit picha kwa kuipaka filter iwe light ionekane imeparara.., hii iko kwa youtube haudanganyi..,Asante sana kwa kunifurahisha ama kweli siku ya leo nimefurah sana π€£π€£π€£π€£π€£ hii ni utumbo gani bro
Bamburi mtambo π€£π€£π€£π€£π€£ nimecheka sana yani hata access ya road sioni naona vichekesho tu bro wallah leo nimecheka sana but thanks
View attachment 2455460
Dimbwi lenyewe unaweza kuruka long jump ukalivuka.Hio nayo ni water parks na swali lilikua zanzibar na mombasa sasa umehamisha magoli kutupeleka kwenye uchafu sasaπ€£π€£π€£π€£π€£ hio nayo ni water sport
Is this second town in Kenya!?Angalia ulivyo mwehu ichoboy01 π π π π π una edit picha kwa kuipaka filter iwe light ionekane imeparara.., hii iko kwa youtube haudanganyi..,
Picha ya ichoboy kwa wivu..,
Picha kamili ya Bamburi mtamboπ₯π₯π₯π₯π₯ππ wivu ni mbaya...,
View attachment 2455566
View attachment 2455570
View attachment 2455573
Kwa karibu..
View attachment 2455571
Hakuna hasira ni fact! mimi sina ubaya ni Mombasa ilivyo siongezi sipunguzi π π π π π π π π πAsante kwa hasira kali kutoka bamburi mtamboni ?π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£