The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,997
Ndio umeongea uharo gn sasa apa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimesema ni ya Mwarabu, sijasema ni kubwa kuliko Citizen. Kuelewa kwako ndio shida. Hapo Tz mmejaa ukabila ni kuficha mnaficha otherwise Waarabu na Wahindi hawangekuwa wanammiliki jinsi wanavyommiliki.
Citizen ni station ya juzi imekuja kama tushaondokea huu upuzi wa kuzunguka na jigari limejaa misatelite.Sasa KBC imekuwa Citizen tena. 😀 😀 😀 😀 Mama yangu
Tuoneshe vifaa vyenu vya satellite kwenye Outside Broadcasting. 😀 😀 😀Kuzunguka na basi ndio kizamani, sikuhizi technologia ipo bwana huitaji basi imejazwa masatelitte to do simple reporting.
Nimekuliza kama basi ni modern technology in broadcasting? Wewe unascreenshot vitu tunajua already😂😂😂Unajua maana ya technology. Nyie washamba kutoka kenya leo nataka kuwafundisha lugha
View attachment 2454252
Onesha hizo mzee mbona maneno tu. Kwani satelite zinawekwa mfukoni?Citizen ni station ya juzi imekuja kama tushaondokea huu upuzi wa kuzunguka na jigari limejaa misatelite.
Ona nawe nimekuambia onesha hizo technology za Citizen TV 😀 😀 😀Nimekuliza kama basi ni modern technology in broadcasting? Wewe unascreenshot vitu tunajua already😂😂😂
Onesha hizo mzee mbona maneno tu. Kwani satelite zinawekwa mfukoni?
Sometimes people avoid engaging you because you're stupid.Wamekimbia
Camera pekee ndio inakutia kiwewe? An ordinary camera that even village stations have?Ona nawe nimekuambia onesha hizo technology za Citizen TV 😀 😀 😀
How Citizen ni kubwa hapa EA mbona hakuna taarifa hizo. Citizen ni kubwa hapo kenya tu.
Unaona hizi camera za football live. Hapo kenya mnaweza?
View attachment 2454262
same personSometimes people avoid engaging you because you're stupid.
Mzee mbona unahaha sana. Maneno meeeeeengi utekekezaji zero.Camera pekee ndio inakutia kiwewe? An ordinary camera that even village stations have?
Hiyo niliyokupa ni nini?Mzee mbona unahaha sana. Maneno meeeeeengi utekekezaji zero.
Camera hizo zinaweza kununua Citizen TV yote
Leta evidenceHiyo niliyokupa ni nini?
What evidence? Una akili wewe?Leta evidence
Kuwa hiyo ni ya Citizen TVWhat evidence? Una akili wewe?
Mbona unabadilisha goli tena? 🤣 🤣
Tunataka vitu vya kijanja kama hivi kutoka huko Citizen TVWhat evidence? Una akili wewe?