Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

a very old design this one!..
mwanzo hizo taa🤔 ni model ya early 80s🤣🤣
 
Wewe jibu hoja kama unayo sio kuuliza maswali ya kipumbavu, ulinilipia ada?
Ungekuwa na hoja ningejibu. Bahati mbaya ama nzuri nimeliona tatizo la elimu na si vibaya kuuliza "uliacha kuwa serious na masomo darasa la ngapi?".

Haya, nikutakie kila la kheri na safari yako ya elimu kwenye mitandao na simu janja.
 
Ungekuwa na hoja ningejibu. Bahati mbaya ama nzuri nimeliona tatizo la elimu na si vibaya kuuliza "uliacha kuwa serious na masomo darasa la ngapi?".

Haya, nikutakie kila la kheri na safari yako ya elimu kwenye mitandao na simu janja.
You wanna get me enrolled in your idiocracy class? No man……..not me, try some other fools around. I have actually get tired with your nonsense, kila siku kumtukana Samia kwa hoja za kipumbavu kabisa, nchi inasonga vizuri kabisa wewe umekalia kumbania makende tu, umetumwa?
 
Mama zidi kufumbua hawa macho...mwenda zake aliwabeba kama maembe..Na hao wakakubali kubewa kama wapumbavu..You have my support....
Wakenya wanafuatilia Tz kuliko nchi yoyote duniani, yn habari ikitoka tu kabla hata ya sisi watanzania kuipata wao wameshaipata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakubaliana nawe kwa hili. JPM aliwadanganya sana watanzania kuhusu ufadhili wa miradi mikubwa and it's a pity most Tanzanians believed him. Afadhali yule anayekuambiwa ukweli mchungu kuliko anayekudanganya na uwongo mtamu
Sio tuu alidanganya Bali kwenye bwawa na sgr alikopa mikopo ya kibiashara inauoiva kwa mda mfupi wa Miaka 5 na riba kubwa,ndio hiyo inasumbua..

Hakuna mradi mkubwa ambao sio wa mkopo,kwa uzoefu wangu ukiona mradi unasua sua jua Ni Pesa ya ndani Ila ukiona mradi unatembea jua Ni Pesa ya mkopo..
 
Unfortunately no way out utajenga hiyo miradi bila mikopo..

SEMA hivi tuwe na kipaombele Cha mikopo,kwa mfano sio sawa mradi wa Tactic kukopa kwa sababu tunaweza tumia bajeti za Sasa kwa awamu na miradi ikafanyika..
 
Said a watchmen earning a monthly salary of $100😂😂🤣

 
Pole watchman. I have some torch and whistle I would like to donate to you. Oooh, I was also forgetting rungu.
Usipanic mnuka mavi mambo ya kawaida tu aya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
a very old design this one!..
mwanzo hizo taa[emoji848] ni model ya early 80s[emoji1787][emoji1787]View attachment 2452982View attachment 2452983
Yani kweli Wakenya hamna akili, yn mmekosa hoja na SGR ya Tz mmebaki kupost kichwa cha mkandarasi na mnajua kabisa ni cha mkandarasi, tuliwaambia huu uzi mtaleft mtake msitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakikaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…