Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumewanasa
CYTONN
Larger renders:

XwVDOjn.jpg

dFKxhHv.jpg

T9M6aaV.jpg

xBp6E08.jpg

0piZaas.jpg

xLvYi3v.jpg

__________________
-happening in Nairobi
Asante kwa render
 
Tatizo watu wa dar hamna picha, mi ningekuwa naishi dar ningekuwa napiga sema sahivi sipo dar.
tatizo ni kwamba wengi wetu(watz) ambao tupo kwenye hii thread since day one, tupo occupied zaidi na majukumu mengine.

wengine tunaichukulia hii thread ni kama ziada tu ya kutuliza akili baada majukumu ya siku nzima ya kulijenga taifa.

ila tukiamua kuwa serious kuingia mtaani kupiga picha,hakika tutapata picha nyingi na nzuri za dar ukizingatia kuwa dar ina maeneo mengi yenye mvuto wa kipekee kuzidi nairobi.

karibia picha zote za dar tulizo upload na tunazo endelea ku-upload,ni za ku-download toka katika vyanzo vingine.

hata hivyo bado picha hizo zinawatoa jasho wakenya.wengi wanabaki kuduwaa wasiamini kuwa hii ndio ile dar waliyokuwa wanaidharau miaka kadhaa iliyopita.

kumbuka kuwa unemployment rate kwa kenya ni kubwa sana kuzidi tz,ndio maana hawa vijana wa kikenya wa hapa jf, wanapata mda wa kutosha wa kuzurula mitaa ya nairobi CBD kupiga picha....wengi wao ni ma-jobless.
 
emoji23.png

Nyinyi tushazoea story zenu za uwongo......mmeishiwa sasa ni excuses. Nchi ya ajira mbona mko kwa least developed category ama ni kazi ya kuvua dagaa na samaki baharini. Smh. ......Kenya ni kazi bora

Tanzania ni bora kazi...
 
Kenya nayo hamtachelewa kuja hata na matusi yenu......nitawachangia tu nikiwapata kwa streets

They claim they don't have slums. ....this is the middle class.....hahaha
bef0259c614a0926c9d072de0c75dc31.jpg
 
Must you always be bitter and hurling insults. ...smh

Nyinyi tushazoea story zenu za uwongo......mmeishiwa sasa ni excuses. Nchi ya ajira mbona mko kwa least developed category ama ni kazi ya kuvua dagaa na samaki baharini. Smh. ......Kenya ni kazi bora

Tanzania ni bora kazi...

Kenya nayo hamtachelewa kuja hata na matusi yenu......nitawachangia tu nikiwapata kwa streets

Nairobi
NASA Cairo
NASA Johannesburg
NASA Lagos
NASA Casablanca
Dar es salaam nayo haitoshi nikama ekuro okoth

Wanaforce battle haiko na city yao yenye mpangilio side ya residential ni msamiati

They claim they don't have slums. ....this is the middle class.....hahaha
bef0259c614a0926c9d072de0c75dc31.jpg
hii ndio shida ya kuamka asubuhi,unapata kwa mfuko hauna kitu na job huna.matokeo yake unakuja kupiga porojo kwa jf juu wewe ni jobless.
 
hapo tumenasa mpaka waafrika kusini...Nairobi sasa ndio kusema..just wish this project was being built neat the CBD or close to Montave instead of kilimani...
dFKxhHv.jpg
endeleeni kuota na kutuonesha renders huku uchumi unakufa kila siku😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom