Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanavyoshangaa maendeleo ya Tanzania
 

Attachments

  • 20221216_103750.jpg
    20221216_103750.jpg
    16.7 KB · Views: 11
Na shida mulionayo nyinyi hua hamupendi kuona tanzania ikifanya vzr kwenye kila jambo 🤣🤣🤣 port imeanza expansion miaka 3 iliopita ila leo inawasumbua tayar vichwa yani mpaka huruma
Mnafanya vizuri na 17M tonnes?😂😂😂 Nimekuambia Dar Port ikifika hata nusu ya Mombasa utuambie.
 
1st quarter of July -Sept 2022 TRA Walikusanya Tsh 5.99Trillions ×4=Tshs 23.96trillions... Kwa Mara ya kwanza tunaenda Kusanya $10B kodi
It doesn't work like that susan. Who told you TRA will be collecting the exact amount every quarter?
 
As for now kazi iliobakia ni kupika data kama kawaida yenu wakat kila siku munalia kua dar na djebout ndio mwiba wa mombasa port au sio nyie na anaewapa kiburi ni uganda pekee na sasa tunaenda nae sambamba





Tena siku hizi mizigo mingi ya Rwanda na Burundi inapitia Tanga port.
 
Back
Top Bottom