CBD enyewe barabara ni potholes mwanzo mwisho.Imagine having your cbd near the port and thats it.
Yani CBD ya Kenya iwe kando ya kilindini habour Mombasa na kuwe hakuna Nairobi 🤣 🤣 🤣
View attachment 2438704
hapo yote ni nairobi's backstreets... every major urban centre has its downtown... even london, even los angeles
Jiko la kuni eti commuter[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alafu wakuu hivi hapa kuna reli kweli [emoji116][emoji116]View attachment 2438671
Nyinyi hamuna ubinaadamu ndio maana muna maisha kama wanyama vile watu wanasaga nyasi kupika ugali ww uliskia wap alaf muko hapa kusifia GDP ushuzi mtupuA boy got lost in the wilderness and was found alive and well - what has that got to do with a country being cursed? Mna upumbavu sana nyie.
Asante kwa render Na ile BRT iko wap??🤣🤣
Asante kwa render naomba utuoneshe na BRT mumefkia wap mpaka sasa hvi 🤣🤣Groundbreaking for the construction of Nairobi Commuter Rail Station.
View attachment 2438713View attachment 2438714
Najua unaumis, hata Expressway, 88 Nairobi na GTC pia zilikuwa render.Asante kwa render naomba utuoneshe na BRT mumefkia wap mpaka sasa hvi 🤣🤣
Vp hapo umefurahi au🤣🤣Najua unaumis, hata Expressway, 88 Nairobi na GTC pia zilikuwa render.
GTC muwashkuru wachina nairobi 88 muwashkuru turkery full stop tuoneshe ile BRT ilikua inajengwa na kenyatta uhuru mukapaka lipstick pale thika mukawa munapiga kelele humu ndani🤣🤣🤣Najua unaumis, hata Expressway, 88 Nairobi na GTC pia zilikuwa render.
Expressway ni mradi wa mchina kwa asilimia 100 kwa miaka 30 imagine 🤣🤣🤣 serekali yenu inafanya kazi gani ikiwa watu wanakufa njaaNajua unaumis, hata Expressway, 88 Nairobi na GTC pia zilikuwa render.
Google is your friend Sieti?Instead of telling me to google it why can't you just post it here.
Kachemka sana leo[emoji1][emoji1] mzee kachafukwa.. anatetea mwanafamilia.. obama wa bongo
Naona ufukara ulikithirri hapo pembeni
Nyie ni wapumbavu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiberenge kinaaamsha hatari[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]
Njiro-ArushaInstead of telling me to google it why can't you just post it here.
Niumie kwa miradi ya watu binafsi tena wageni kutoka nje serious 🤣🤣🤣 na ule mradi wa train ya umeme kutoka CBD kwenda JKIA umefkia wap baada ya kenyatta kunyonywa mate ufaransa umefkia wapNajua unaumis, hata Expressway, 88 Nairobi na GTC pia zilikuwa render.
Ni muda sasa hawa wajinga tuwaoneshe Tanzania sio ya chama cha kisiasa.😄😄 mzee kachafukwa.. anatetea mwanafamilia.. obama wa bongo