Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

90% ya majengo ya ka Nairobi yamejengwa kwa style hii
tapatalk_1673300947_391x480.jpg
 
Thanks for posting Nairobi pictures.. Nikikuuliza hizo picha umepost ni Kisumu upande gani utajibu?
Pole kwa maumivu, ndiyo nchi yenu hiyo ipende vile ilivyo, elimu yenu duni haiwajengi kuwa wastaarabu ndiyo maana mauchafu everywhere in that shit hole country.
 
Mji wowote ule duniani ambao hauna infrastructure za kisasa kama BRT system, cable stayed bridges, electrified SGR, basi huo mji uko stone age.
Ungekuwa na akili ungejua kwamba cable stayed bridge is an old age (16th century) technology. Railways with electric cable heads are 18th century technology. BRT is an old system as well.

To make it worse Dar is not even among tare 1 cities in Africa
 
Pole kwa maumivu, ndiyo nchi yenu hiyo ipende vile ilivyo, elimu yenu duni haiwajengi kuwa wastaarabu ndiyo maana mauchafu everywhere in that shit hole country.
Elimu Dunia Iko Tanzania that's why you are still LDC despite all the natural sources you have.
 
Back
Top Bottom