Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionyeshe public park moja hapo Bongo yenye unaweza linganisha na Uhuru Park ama Central Park.
 
Sema hiyo road inayopita juu ndiyo sijajuaga huwa inatokea wapi na kuelekea wapi.
Kutakuwa hakuna njia insyokatiza lane ya brt kutokea kwa late sheikh Yahya. So kwenda upande wa pili au kigogo ukitokea kwa sheikh inability upite juu ndio uingie upande wa kigogo and vice versa.
Kwasababu ukiacha hio intersection active na kwenye mataa pale itskuwa foleni na chaos kama zamani.
 
Pepsi, 7up ni global brands na bado zipo sokoni duniani kote
ndio... kweli najua ni global brand, lakini ata hivo hazina tena usemi duniani kama vile ilivyokua hapo mbeleni..
lakini tuseme miongo miwili-mitatu hivi iliopita.. zilikua majina makubwa sana.. ..🤔 yani, yalikua yana ogopewa na kuheshika sana!

mwanzo hio Pepsi ilikua inapelekana na Coke, hapa kwa hapa.. lakini sihizi... hatuiskii tena.!..
ata miongoni mwa sponsors wa worldcup hawapo.. ata konyagi ni afadhali! yawah!
 
Hili ndio tatizo lenu wakenya, ninyi kitu Kama hakipo huko kwenu, basi mnadhani Dunia nzima ndio hivyo hivyo, ninyi mawazo yenu yapo nyuma Sana, Messi ni ambassodor wa Pepsi Hadi Leo, bado eti mnasema ni kitu cha zamani, ninyi ni watu wa hovyo ndio sababu ukabila hautokwisha hapo kwenu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Japo inauma, lakini huo ndio ukweli, Kenya ni nchi ya wababaishaji Sana, haiwezi kufanya lolote bila kutegemea majirani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…