Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe chizi kweli sasa unataka kusema mnaipita Tanzania kwenye mining, agriculture and business? Wewe ng'ombe unafikiri business is all about importation? Tanzania inaexport zaidi yenu

Kunyaland zaidi ya import business hakuna kitu
I have told them mara nyingi tuu kuwa Kenya is an import economy hawataki kusikia vichwa vigumu hao.
 
Lete numbers za International arrivals Kisumu Airport nitoke JF sasa hivi.
Bila wakenya na wazungu all your airports will be dead. That just shows how Tanzanians are poor and can't afford to travel by air😂😂😂. Tanzanians are the poorest in the region. Try to imagine Kisumu airport is giving Kilimanjaro a run for it's money with domestic travellers alone.
 
Het baboon, SGR can't make profits with passengers alone.
Kusafirisha watu ni indirect profit,
Unamuwahisha mtu kwenda kufanya shughuli za kiuchumi.

Nchi zilizoendelea zinajenga high speed railway kwa ajili ya abiria tu, na hizi zina gharama kubwa sana, do you think they are stupid.
Sisi waafrika tumekaririshwa Ukijenga reli isipofika nchi ya jirani haina faida
 
Hata 500,000 kisumu airport haijawahi ku-cross! I did a comparison before!

500,000 is not something new to Kisumu.

Screenshot_20221204-123018.png
 
Bila wakenya na wazungu all your airports will be dead. That just shows how Tanzanians are poor and can't afford to travel by air. Tanzanians are the poorest in the region. Try to imagine Kisumu airport is giving Kilimanjaro a run for it's money with domestic travellers alone.
Nimekwambia ulete number za International arrivals kisumu ili nitoke JF sasa hivi wewe umaleta taarabu hapa
 
2021 data.
bring them in full!

View attachment 1150373

Mwanza had more than that number of PAX in 2015!

View attachment 1150390View attachment 1150390
 
when was this? Nachojua mimi Kisumu airstrip haijawahi ku-handle wide body aircraft kwa vile runway na facilities haziruhusu!

Mwanza airport is already doing that for years!

Kisumu is handling more planes per day than Mwanza. Kisumu receive the same number of passengers as Kilimanjaro. Kisumu has a longer runway than JNIA with the same with as JNIA. Meaning Kisumu can handle any type of airplane in this world.
 
bring them in full!

Sasa unaleta article ya 2014 itusaidie na nini?😂😂😂🤣🤣. For your information Mwanza is doing less than 250,000 passengers in a year according to your government. Actually it will take Mwanza 50 years to reach to the current level of Kisumu airport.
 
Nimekwambia ulete number za International arrivals kisumu ili nitoke JF sasa hivi wewe umaleta taarabu hapa
Tanzanians are poor and can't afford air transport. That's why your domestic air traffic is pathetic. Kisumu inacharaza Kilimanjaro with only domestic travellers 😂😂🤣
 
Kisumu is handling more planes per day than Mwanza. Kisumu receive the same number of passengers as Kilimanjaro. Kisumu has a longer runway than JNIA with the same with as JNIA. Meaning Kisumu can handle any type of airplane in this world.
kama ni number of planes regardless of size Arusha airport haina mpinzani in the region! Nimeomba evidence ya wide bodied Kisumu airstrip!
 
kama ni number of planes regardless of size Arusha airport haina mpinzani in the region! Nimeomba evidence ya wide bodied Kisumu airstrip!
I'm not talking about planes carrying 3 passengers. Apart from ATCL and Precision Air. Which other aeroplane uses Mwanza airport regularly?
 
Tanzanians are poor and can't afford air transport. That's why your domestic air traffic is pathetic. Kisumu inacharaza Kilimanjaro with only domestic travellers 😂😂🤣
endelea ku-rant bila back up! i beat u up badly way back in 2018! 👇 🤭

Airport inajulika internationally in JKIA, the rest r airstrips that don't meet ICAO standards! Uliza Emirates juzi!
Fi3eAQtXoAAuHL4

Back
Top Bottom