chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
🤣🤣 Hii ni takataka kabisaJust imagine ndio 5th tier city yetu baada ya Arusha, Zanzibar City, Dar na Mwanza, kwao Eldoret ndio 5th wakati Eldoret hata hatua 2 humalizi kama Kisumu tu 😅😅😅
View attachment 2432169
Fukara unasikia maumivu ukiwa upande gani wa uswazi? kulia, katikati ama kushoto? 😂 😂 😂 😂 Railway city loading.., Kenya sio Tanzania, infact France wako ready wanangoja Ruto govt wapeane go ahead.., Uhuru hakutoka bure..,Mtu kaenda Korea kuzungusha bakuli akaahidiwa ahadi hewa kama mwenzake 😂😂😂
Macron alimuambia next month electric railway inaanza ujenzi Nairobi, mpaka leo mwaka wa tatu holaaa 😅😅😅
Hot-air promises as usual!
View attachment 2431806
Ila we jamaa bhana 🤣🤣 unazungumzia vitu havipo kwa madaha mno 🤣🤣🤣 uFukara unasikia maumivu ukiwa upande gani wa uswazi? kulia, katikati ama kushoto? 😂 😂 😂 😂 Railway city loading.., Kenya sio Tanzania, infact France wako ready wanangoja Ruto govt wapeane go ahead.., Uhuru hakutoka bure..,
View attachment 2432413
View attachment 2432414
French govt wanangoja serikali ya Ruto kuwapea okay ili firms zao ziwekeze.., wako tayari kwa PPP investement..,
View attachment 2432419
View attachment 2432420
Mombasa Japan wameanza kazi ya Special Economic Zone.., mtangoja sana tena sana...,
Hii clip nenda ukatishie nayo mikwara wenzako kule vijiweni, niko na google earth 3D images, napajua kote kote.., nyie bado sana, ujinga niondolee kilaza., mko down bado, below Kenya by far!.., yaani haka kaeneo kanawapa kiwewe, jinga type 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., ndio mnatoka porini kilaza, nyie bado. fanya google earth iwe rafiki yako, uwe una scan across ulinganishe kabla ya kukurupuka.., jiondolee aibu..,
The point is that your idiot comrade said Uhuru got nothing from France.., wako tayari kwa projects zao zote walizo kubaliana na Uhuru., inauma najua ila mtanyooka tu..,Ila we jamaa bhana 🤣🤣 unazungumzia vitu havipo kwa madaha mno 🤣🤣🤣 u
Sasa 🤣🤣 niumie kwa vitu havipo .. .?The point is that your idiot comrade said Uhuru got nothing from France.., wako tayari kwa projects zao zote walizo kubaliana na Uhuru., inauma najua ila mtanyooka tu..,
Ila we jamaa ni mkaidi sana 🤣🤣..sasa hata ukiwa na google earth ndio itabadili hilo eneo au.? Au kwamba hizo 3D images hazitaonyesha hilo eneo au.? 🤣🤣Hii clip nenda ukatishie nayo mikwara wenzako kule vijiweni, niko na google earth 3D images, napajua kote kote.., nyie bado sana, ujinga niondolee kilaza., mko down bado, below Kenya by far!.., yaani haka kaeneo kanawapa kiwewe, jinga type 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., ndio mnatoka porini kilaza, nyie bado. fanya google earth iwe rafiki yako, uwe una scan across ulinganishe kabla ya kukurupuka.., jiondolee aibu..,
Zinaonyesha kote, the whole area, ndio mnaona such outside Dar unadhani Kenya ni kama Tanzania nchi ya jiji moja fukara., boss kaeni kwa kutulia mtafika siku moja..,Ila we jamaa ni mkaidi sana 🤣🤣..sasa hata ukiwa na google earth ndio itabadili hilo eneo au.? Au kwamba hizo 3D images hazitaonyesha hilo eneo au.? 🤣🤣
🤣🤣 Seeing is believing bro.. unataka kubishana video pia.? 👇Zinaonyesha kote, the whole area, ndio mnaona such outside Dar unadhani Kenya ni kama Tanzania nchi ya jiji moja fukara., boss kaeni kwa kutulia mtafika siku moja..,
Zoea hivi vitu, Tanzania bado ni geni sana.., yaani my point mko down, sio kawaida, ata in Dar.., sasa wewe fanya hima utoke maisha ya uswazi angalau u live in an organized estate.., yaani nikiangalia Dodoma.., na hako kaeneo, ratio yake vs the whole area, bado sana.., endeleeni mtafika, ushamba punguza., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂🤣🤣 Seeing is believing bro.. unataka kubishana video pia.? 👇
View attachment 2432456
Can't you see.?
🤣🤣🤣🤣 Unaeza ukafa kwa wivu we jamaa.. huwezi badili hiyo video, zoea DODOMA, outside NAIROBI hakuna comparison ya estate kubwa ka hiyo in the whole of kenyaZoea hivi vitu, Tanzania bado ni geni sana.., yaani my point mko down, sio kawaida, ata in Dar.., sasa wewe fanya hima utoke maisha ya uswazi angalau u live in an organized estate.., yaani nikiangalia Dodoma.., na hako kaeneo, ratio yake vs the whole area, bado sana.., endeleeni mtafika, ushamba punguza., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
sijui leo mgeni wetu ras jeff kapita ako wapi..🤔Do you have cities in Tanzania apart from Dar?
Endelea kuota, utaamka tu.., Tanzania bado sana.., usijitoe ufahamu kilaza..,🤣🤣🤣🤣 Unaeza ukafa kwa wivu we jamaa.. huwezi badili hiyo video, zoea DODOMA, outside NAIROBI hakuna comparison ya estate kubwa ka hiyo in the whole of kenya
Zoea DODOMA kilaza usilielie 🤣🤣 unakua mkaidi mpaka Unabishana na videoEndelea kuota, utaamka tu.., Tanzania bado sana.., usijitoe ufahamu kilaza..,
Huo ni mtazamo wako tuu kuhusu JPM, ila sisi tuliona hakuwa mchoyo, alikuwa anafungua madirisha ili nasi angalau tuweze kuangalia "kideo", jinsi nchi inavyoliwa.
Wangapi walikuwa wanajua kuhusu wizi wa mafuta kwa kuharibiwa flow meter bandarini au jinsi madini yanavyotoroshwa uwanja wa ndege? Sasa hivi unajua kinachoendelea kwenye sekta ya nishati, au kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake?
Germany is the biggest economy in Europe, is Tanzania the biggest in EA?🤣🤣🤣