Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya ni mawazo yako, huenda wewe ndio upo "Negative minded person", hivi hao wachina wanaowasaidia wakenya chakula kila mwaka nao pia wanadanganya?, au wanataka kupigiwa kura?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Fuatilia mambo kwa kina kijana. Wachina wanamaslah mapana na Kenya, wanajenga miundombinu bomu kwa bei ya juu sana. Lazima wapalilie sham lao.
 
Huyo mtu alieshiriki ku demonize kunyans intels alaaniwe kwa nguvu zote, yale yale mambo ya Nyerere alisema Nairobi ni London ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nani aliloga akili za hawa watu kiasi cha kujiamini hivi kuongea rubbish kiasi hiki?

Fear a stupid confidence than a death! Horrible!

 
Hivi apo alitaka kusema nn uyo mwamba?...[emoji1787]
 

Apparently this kind of hand writing , and scripts looks familiar with me, I donโ€™t know [emoji3]
Ni kama weโ€™ve been somewhere before,
Kwani wewe ni yule mtoto mzuri wa Mombasa ?
 
Hivi apo alitaka kusema nn uyo mwamba?...[emoji1787]
Hiyo tweet imeandikwa kimandanzi, not verbatim, Doyen is right, over 30 years ago Kenya and several African countries baada ya kupata uhuru zilikua na GDP kubwa zaidi ya Korea na Singapore, Kenya one time lend money to South Korea, ila leo hii South Korea ni uchumi kubwa (10th in the world) with first world standards, yaani kwake ni ironical yeye kuenda kule kutafuta usaidizi na technology na miaka ya nyuma tulikua mbele yao, wapi tulipotea njia?.., ilikua masikitiko. He spoke in a church service after he arrived from S. Korea.., u should have looked for the whole clip ili uelewe context ya hayo maneno..,
Ruto's Korea trip
 
Mtu kaenda Korea kuzungusha bakuli akaahidiwa ahadi hewa kama mwenzake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Macron alimuambia next month electric railway inaanza ujenzi Nairobi, mpaka leo mwaka wa tatu holaaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Hot-air promises as usual!

 
Nchi yao imelaaniwa haina mali za maana zaidi ya miraa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinachonishangaza ni speed walionayo ya kukopa wakati hawana vyanzo vipya ya mapato ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Magufuli alishawanyang'anya SGR na EACOP ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Lapsset ni mfu tayari dah mpaka huruma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ