Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnuka mavi hakuna kingereza cha hivi [emoji116][emoji116]

The fruits doesn't fall....

Labda ungeandika hivi [emoji116][emoji116]

The fruits don't fall.....

Lkn huo msemo unasemwa hivi [emoji116][emoji116]

The fruit doesn't fall......
 
Sockets za kubong'oa? Za kushika ukuta sasa kwa anayekaa upande wa mwingine wa kati njiani anatumiaje socket au ndo mambo ya kuja na extension? Kundustan bana! Ni shida..!
Nimecheka sana, unajua hawa jamaa ni wababaishaji sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kabsaa falamanga wa Kikunya anajirekodi! Turning seats ila hamna legs' room/space!
Eti anakuambia unaweza ukazungusha seat ukaongea na mwenzio wa nyuma, sasa nikajiuliza unazungusha vipi wakati kuna miguu ya watu, au utawaambia watoe miguu ili uzunguke. Lkn pia ukitaka kuzungusha kiti inabidi mkubaliane na mwenzio alie pembeni mana kiti kimeunganishwa na cha mwenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wallahi Wakenya hawana akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuumbee, huyo aliyekuwa anaongea ni mshamba hakuwa anajua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…