Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeenda angalia mpira bar unawapangia na commentator language. Kama vile upewe lift kwenye gari halafu unaanza piga honi

Sent using Jamii Forums mobile app
worldcup itanoga aje kwenye maskani ukiwa solo.. wife mwenyewe ako zake far eldy na uko!..

so itakuaje msela wangu... ata kaa ni ww unge do?

heri ni watch kwenye bar pamoja na mbogi genje...

ila mitungi nilishawacha since mwaka jana, lakini bora niko soughted na jaba(gomba) yangu surba angalau tatu hivi (yani nusu kilo) na delmonte apple na waba 1.5lt...
mie hapo sina shida... yani niko rieng vinoma mshika dau wangu
 

Umeoa huyo mwanamke au unaita tu wife mzee.
 
Always copying Kenya. Before Nairobi expressway ijengwe hamkuwa mnsongelea expressway. Now that we have already built one, you want to copy us as well.
Kwamba nyie wanuka mavi ndiyo waanzilishi wa expressway duniani au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…