chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Nipo gado mkuu, big up sana kwa kuwakimbiza mbwiga ulinireplace vizuri sana kazi yako ni ya kutukuka 😂😂😂 Sasa nimerudi na full neo force!Jana nilikuwa najiuliza huyu mwamba anaendeleaje, pole sana mkuu.
Biashara gani mko mayo DRC? KDF are in DRC to guard our interest. Kenyan banks are the best banks in DRC, Kenya insurance companies dominate DRC, Kenyan factories are everywhere in DRC. Nyinyi kazi yenu ni kiongea ongea tu.Tanzania saivi tunatakiwa tusijiwekeze sana kwenye mambo ya ukombozi wa nchi nyingine kama ilivyokua kawaida yetu, na Kenya imetuma jeshi DRC lakini on the other hand Tanzania juzi kati imesaini mkataba wa dollar billion 1 na DRC kuhusu ujenzi wa SGR, ports lake Tanganyika, meli kubwa ya kubeba containers na barabara, hiki ndio kiwe focus yetu
Wenye ushamba wa kupigania nchi za watu tuwaache watutengenezee amani DRC sisi tufanyaje biashara zetu kwa utulivu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ring zimeisha [emoji16]Kwanza inatembea inafuka Moshi kama kuni mbichi..
View attachment 2427064
Sisi ni matajiri na kwa mipango tuliyojiwekea hiyo capacity tunaifunika mapema tuu. Hatufanyi vitu kwa kukurupuka tunaenda stage kwa stage ndio maana tulianza na airport tukaja kwenye ndege sasa tuko kwenye the royal tour then uchumi wa blue while anticipating oil and gas economy from 2025. Kupanga ni kuchagua mazee.What's the need of buying a 62 sitter bus when year after year you only carry 10 passengers? You should buy a pikipiki instead.
Unaweza kunionesha trade volumes between the two of you?Biashara gani mko mayo DRC? KDF are in DRC to guard our interest. Kenyan banks are the best banks in DRC, Kenya insurance companies dominate DRC, Kenyan factories are everywhere in DRC. Nyinyi kazi yenu ni kiongea ongea tu.
Yale ya mtumba wa wafaransa ,kweli nyani haoni kunduleOur commuter trains are better than your SGR trains.
Acha kuchanganya Locos na carriages ni vitu viwili tofauti.Kawaida sana yani..
Izo locos za Tanzania ni daraja la tatu, zinakuja kwa awamu, zitakapokuja daraja la pili na la kwanza tutacompare zaidi
Mpaka wa Tanzania na DRC una trade volume kubwa kuliko the rest of Tanzania Kenya cross border trading entriesBiashara gani mko mayo DRC? KDF are in DRC to guard our interest. Kenyan banks are the best banks in DRC, Kenya insurance companies dominate DRC, Kenyan factories are everywhere in DRC. Nyinyi kazi yenu ni kiongea ongea tu.
Hivi baada ya Korea ndio alikwenda Ukraine .Bado utawaskia wakipayuka eti Dodoma pia ni smart city. 🤣🤣🤣
1. Reli ya axle load 35T against 25TAre you aware that your SGR was designed to only transport a maximum of 1.1M passengers in a year? That's a third of what our SGR is doing.
Endelea kujifariji.Hatujapigwa na Mchina, tumepewa tulichotaka Ila tunakubali we could have done better. Shida yenu mnatuchekelea eti yetu ni mbovu ilhali hamna tofauti Kati ya mabehewa yetu na yetu. Yani nyani kuchekelea makalio ya nyani mwenziwe.
Ndio hio ni ya mkandarasi 😆Hii mbona kama inachonga Barabara [emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ni matajiri wa karatasi tuu mkuu.Gross Domestic Product is all about the trade balances between export and import, angalia how these statistics are screaming bitter truth how Kenya's GDP is fake [emoji28][emoji28][emoji28]
Mtu anajiita mwenye GDP kubwa huku akiwa na trade deficit ya dollars billions 13 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya inapokea humanitarian donation kila pembe ya ulimwengu, juzi Ukraine wameipa ngano 😂😂😂Aibu nyingine kubwa hii [emoji116]
Baada ya kula uji wa mgonjwa juzi sasa kituo kinachofuata [emoji116]View attachment 2427225View attachment 2427226
Nchi inayoendeshwa kwa mikopo na misaada 🙂Hao ni matajiri wa karatasi tuu mkuu.
Somalia nao wapo mbioni kusafirisha msaada kwa jirani yao Kenya.Kenya inapokea humanitarian donation kila pembe ya ulimwengu, juzi Ukraine wameipa ngano 😂😂😂