Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Im one of biggest haters wa sa100 na serikal ya sasa ilivyo dhaifu na kwa position niliyonayo naifanya iwe dhaifu zaidπŸ˜†
Ok. Tuendelee na hoja nyingine.. kweny BUT yako, what is the point ya treni ya Tanzania kuwa coloured yellow?
Ona punguani hili πŸ˜‚πŸ˜‚.

Sasa wewe unafanya Kazi kwa niaba ya Samia au Nchi? Wewe Ni mpumbavu wa kiwango Cha septic tank..

Good enough Ni kwamba nyie wachache Hakuna mtakachofanikiwa na ombea shetani wako afanye usigundulike..
 
Unasema Watanzania mnapenda kuhojiana wakati unaquestion mwenzako kwa kuquestion vitu unavyoamini. Hivi hujioni mnafiki?
 
Haters mnaitwa na huku Raia Samia anakoupiga MwingiπŸ‘‡
 

Attachments

  • 20221123_073650.jpg
    152.5 KB · Views: 29
  • wizara_afyatz_1669130045627770.jpg
    119.5 KB · Views: 29
  • wizara_afyatz_1669130045627165.jpg
    137.7 KB · Views: 34
  • wizara_afyatz_1669130045627354.jpg
    65.9 KB · Views: 31
  • wizara_afyatz_1669130045627466.jpg
    95 KB · Views: 29
  • wizara_afyatz_1669130045627803.jpg
    102.7 KB · Views: 29
  • wizara_afyatz_1669130045627185.jpg
    97.3 KB · Views: 31
  • 20221123_144650.jpg
    159.4 KB · Views: 22
Ona punguani hili πŸ˜‚πŸ˜‚.

Sasa wewe unafanya Kazi kwa niaba ya Samia au Nchi? Wewe Ni mpumbavu wa kiwango Cha septic tank..

Good enough Ni kwamba nyie wachache Hakuna mtakachofanikiwa na ombea shetani wako afanye usigundulike..
Au sio?
Huko shamban mbeya kunaendeleaje? Mwaka huu tutapata mchele wa kutosha wa kuwalisha wakunya?

Wacha sisi wengine tupange madeals yetu na wakubwa ya kuchukua nchi kutoka kwa Sa100πŸ˜€
 
They already did it, tokea 2020 Dar is nothing.., siku hizi hawapendi Knight Frank, eti ina waonea., Nairobi rocks in their reports even ya 2022 we rule!.., Dar ilihara kitambo., slow progress, nchi hafifu.,
 
Bahati mbaya hii, faida kwa Air Tanzania ni ndoto ya alinacha, sasa haya! poleni watanzania, hii biashara iko na wenyewe..,
 
Bahati mbaya hii, faida kwa Air Tanzania ni ndoto ya alinacha, sasa haya! poleni watanzania, hii biashara iko na wenyewe..,
View attachment 2424734
Hizo ndege ni brand new, Tz ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza Afrika kuanza kutumia hizo ndege, that means hzo ndege bado zipo kwenye majaribio kama zinazingua zinarudishwa kiwandani kwa gharama za air bus wenyewe, shida iko wapi apo. Punguza wivu wa kike.
 
Inaitwa bahati mbaya.., kila mti mnajaribu kukwea unateleza, poleni sana., mnahitaji kufanyiwa tambiko ili mpone, ama mkubali ile tambiko kuu ya msalaba pale golgotha/Kalvari, hiyo ni tosha, poleni sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hata Kunyaland umeme Ni mgao,South Africa ndio usiseme πŸ‘‡
We don't have blackouts unnecessarily or power rationing, wacha kulazimisha tufanane, ungefanya uchunguzi, Kenya is not Nigeria or SA ama nyie fukara na bado mna ration stima, kwa lipi? hamuna industries mingi.., tatizo ni nini?..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…