Nishaachana nayw huyo...yaan anapachukia Bukoba as if sio Tanzania...Mkuu pumzika.. achana na hii mada.. nilitaka kuleta proof (ticket) ya flight kutoka Dar hadi Bukoba directly na return flight ndo ilikuwa ya Bukoba-Mwanza-Dar either ya softcopy (ticket pic) or hardcop (ticket) bahat mbaya nimeikosa... those days nilienda kwa ishu ya substation ipo kibeta. otherwise mtaendelea kubishana na kitu meaningless [emoji1787]
Nikiipata bila shaka nitaleta [emoji23]
Aawapii endeleeni kuliwazana na kupeana Moyo! Air Tanzania inaenda mara tatu kwa wiki!Nishaachana nayw huyo...yaan anapachukia Bukoba as if sio Tanzania...
Kwan kukijengwa Airport mpya Bukoba yeye anapungukiwa nini hapo?
Mimi as long somethings ni uwekezaji tz hata airport ikijengwa huko lindi..it doesn't matter ni maendeleo hao...
Imagine Geza ulole ndo awe mkuu wa mkoa wa kagera..imagine...
Mimi mwenyew na uhakika...bukoba kuna direct flights kutoka Dar Bukoba na return yake...tena kuna msimu kuna kuna zote zile zinazopita mwanza na zile direct to dar bila kupitia mwanza....
Bukoba kuna uwekezani gan wa maana wa serikali..watu wanajitafutia pesa wenyew wanapambana..so hakuna haja ya kuwaonea wivu wakijaza hizo ndege
Mkuu zipo mkuu..mara nyingi from Dar to Bukoba...Yeah, No direct flight from Dar to BKZ without landing in MWZ. TC has Dar-Mwz-Bkz and it's TC 100.
Lol ndo ulipofikia huko...Aawapii endeleeni kuliwazana na kupeana Moyo! Air Tanzania inaenda mara tatu kwa wiki!
Ndege hutua Bukoba watu chini ya 10 hushuka na Chini ya kumi hupanda wengine 60 huenda kushuka Mwanza!Mkuu zipo mkuu..mara nyingi from Dar to Bukoba...
Return mara nyingi ndo zinapitia mwanzaView attachment 2422453View attachment 2422455
Hakuna mkuu.Mkuu zipo mkuu..mara nyingi from Dar to Bukoba...
Return mara nyingi ndo zinapitia mwanzaView attachment 2422453View attachment 2422455
Inaenda kila siku.Aawapii endeleeni kuliwazana na kupeana Moyo! Air Tanzania inaenda mara tatu kwa wiki!
Ulisoma comments za wakunya wenzio au unashare link tu. Hadi nimefumba macho kwa aibu
You're mad we won't be buying maize?
Kweli hapa ni kupoteza fedha tu Bora wangejenga Njombe ambako hakuna uwanja wa ndege.KIA ipo kwa ajili ya kazi Gani?Ukiskia wastage of resources ndo hizi..Hiyo Billion 12 wangenunua machine za Dialysis na kuongeza dialysis centre au hata kujenga Km 10 za lami View attachment 2422294
Uwanja uko Soweto Moshi, umbali hadi kufika KIA ni kama 40+ KM.... Uwanja huo sana sana unatumiwa na ndege ndogo za Watu binafsi na kampuni za utalii.Sijui umbali wa huu uwanja na KIA ukoje na mim sio mtalaam wa viwanja vya ndege.. lkn wakifanya huu uwanja kwa ndege ndogo (mostly for tourists) au domestic flight afu KIA for international flight hakuna shida
You're mad we won't be buying maize?
Mbona imekaa kama Kbull's eye, means 'on-target' in military or sniper language..
as in hadid zaha is on point, that, she will not miss her goal, on wht she's trying to express
View attachment 2422403
Mimi napinga cable cars kwenda kilele cha mlimani. Raha na ladha ya kupanda mlima ule ni kutembeaa... Kupanda pole pole na kuweka camps hadi kufika juu.Kaka KIA wenyewe hata hauko overutilized , anyways i think 12 billion could be spent somewhere and hyo airport ingesubiri.Bora hata wangejenga Cable Cars kwenda mlimani
KiA kabla ya expansion ulikuwa overitilized na pia kabla ya corona growth was encouraging! Now the trend is picking up again!Kaka KIA wenyewe hata hauko overutilized , anyways i think 12 billion could be spent somewhere and hyo airport ingesubiri.Bora hata wangejenga Cable Cars kwenda mlimani
mwanamziki ata tumia mistari, vina, ubeti, mishororo, tanakana za sauti etc.. kuji express..Mbona imekaa kama K
We don't want your maize.Why go for GMO when Tz can supply you sufficient maize at the friendly price, the price you can afford ? Why go that further ?
Nonsense!Ukiskia wastage of resources ndo hizi..Hiyo Billion 12 wangenunua machine za Dialysis na kuongeza dialysis centre au hata kujenga Km 10 za lami View attachment 2422294
Mahindi yetu pekee hayawatoshi hawa wajinga, wamezaana kama mbwa, wapo wengi kuliko sisi wenye linchi likubwa mara mbili na nusu ya kanchi kao.Why go for GMO when Tz can supply you sufficient maize at the friendly price, the price you can afford ? Why go that further ?