Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hehehe..... IamLee,
hebu imagin, pple like The best 007 and Geza Ulole and Sama boy 255, strongly believe and consistently consoles themselves that tanzania is doing much better than kenya in this areas:-

our JKIA vs their JNIA

our Msa Airprt vs KIA
nb🙁msa int'l airprt now has direct flights to dubai, 4× a week)

our KDF Military might vs their defence Forces

our KQ vs AirTanzania

our Mombasa Port vs Dar Port,

our Tourism Industry vs them,

our Real Estate vs them,

our stadia, esp. Kasarani and Nyayo vs. Mkapa stadium.

our Electricity connectivity vs them,

our cities:- nakuru/kisumu/eldoret vs. their mwanza/arusha/dodoma

our international hotels vs their's,

our Industries and manufacturing vs theirs,

our cement consumption vs them,

our Refferal Hospitals vs theirs,

our current infrastructure developments in general vs theirs.....

etc etc..

huwa nakosa cha kuwaambia ila kuwa tizama tu kwa huruma. maana hawajui wanacho kurupuka
 
Hata usihoji sana...serikali ilishakubali...na wataujenga tu hio omkajunguti airport...

Sisi tulioshawahi kuishi Bukoba mjini tunajua matatizo ya huo uwanja wa Bukoba...na walikurupuka kujenga uwanja eneo hilo..wakati kulikuwa kuna eneo limetengwa tena kubwa na tambarare...wakajenga hapo na kusababisha foleni kwenye baadhi ya barabara za mji wa Bukoba kama ile kashozi road..na kufunga baadhi ya barabara...kama airdrome road, bilele road na zamzam roads...

Kama umefika Bukoba hiv karibuni utashuhudi chaos na folenu zilizo katika kashozi road..mpaka nayo wanataka waiamishe tena...

Kuepukana na yote hayo ndo maana serikali ya mkoa itajenga tu huu uwanja wa kajunguti...washakubali mapungufu...
 
hawa wanahitaji uwanja mwingine kama Bukoba!
Ndo washakubali sasa...Omkajunguti International airport itajengwa tu...lazima wajenge tu...wao viongozi watafikaje Bukoba kama usafiri wa ndege ndo rahisi kwao...waliowahi kusafiri na ndege kuelekea bk na ndege wanajua tatizo wanalokumbana nalo kwenye kutua hata kama hali ya hewa ni nzr kiasi gani...tatizo la Bukoba sio hali ya hewa kiviile...la hasha ni uwanja...

Na hakuna namna wanaweza kupanua pale...maana kule mbele kuna viwanda na majumba makubwa na mlima...kupanua upana wa uwanja itabidi wavunje hadi katikati ya mji...then mji wa Bukoba wote utakuwa airport...

Ziwani wakipanua nako watakisogelea hicho kisiwa...

So the best option ni kujenga kiwanja kipya tu hakuna jinsi
 
Porojo ya Mwandishi wa kihaya hamna chochote! Hiyo runway inaweza kuongezwa urefu kwa ku-reclaim land! Bakhresa kaweza hotel Verde ishindwe serikali?
 
Porojo ya Mwandishi wa kihaya hamna chochote! Hiyo runway inaweza kuongezwa urefu kwa ku-reclaim land! Bakhresa kaweza hotel Verde ishindwe serikali?
We jamaa una chuki na maendeleo ya kanda ziwa...yanakunyima usingizi...

Mbona moshi kuna airport mbili na wala no maneno...

Kama kitu kinajengwa Tz..hata kama ni kwenye maji...hayo yote ni maendeleo....ubinafsi sio mzr mkuu
 
Mradi Wa Moshi siu-support ila inakaa wanaiga Wahaya kwa ubinafsi! Ila wao wana afadhali nyie mwaka wa 10 hamna abiria wa kujaza ndege na kufanya safari za kila siku ila upo humu unataka Omkanjuguti international Airport!
 
Hebu kabook ndege ya kesho Bukoba Leo sasa hiv uone kama utapata seat....

Maana unaongea kwa hisia tu...
 
Hadid Zaha Fifa2022 Stadium design.

😆😆 in Her Concept/Philosophy.. she wanted to scream out loud!!🗣 to emphasis on feminism and how female gender is discriminated in the arabic world!...... 🤔

truely, her complain will be fully heard by the whole world during this world cup that kicks off today 20/11/22🤔🤔

bull's eye..!🍑🍑💥
her goal will be fully realized 100%!!
 
Hebu kabook ndege ya kesho Bukoba Leo sasa hiv uone kama utapata seat....

Maana unaongea kwa hisia tu...
ndege zenu mnaunganisha na mwanza hamjawa na capacity ya daily direct flights! Hata iliyodondoka ilikuwa na abiria wa mwanza
 
Ukiskia wastage of resources ndo hizi..Hiyo Billion 12 wangenunua machine za Dialysis na kuongeza dialysis centre au hata kujenga Km 10 za lami
 
Ukiskia wastage of resources ndo hizi..Hiyo Billion 12 wangenunua machine za Dialysis na kuongeza dialysis centre au hata kujenga Km 10 za lami View attachment 2422294
Sijui umbali wa huu uwanja na KIA ukoje na mim sio mtalaam wa viwanja vya ndege.. lkn wakifanya huu uwanja kwa ndege ndogo (mostly for tourists) au domestic flight afu KIA for international flight hakuna shida
 
Sijui umbali wa huu uwanja na KIA ukije.. lkn wakifanya huu uwanja kwa ndege ndogo (mostly for tourists) au domestic flight afu KIA for international flight hakuna shida
Kaka KIA wenyewe hata hauko overutilized , anyways i think 12 billion could be spent somewhere and hyo airport ingesubiri.Bora hata wangejenga Cable Cars kwenda mlimani
 
Ukiskia wastage of resources ndo hizi..Hiyo Billion 12 wangenunua machine za Dialysis na kuongeza dialysis centre au hata kujenga Km 10 za lami View attachment 2422294
ndo halli ilivyo sasa, ningefurahi kama tungekuwa tunasema hivi hata kwa wale wanodai Omukanjuguti international airport huku uwanja walionao uko underutilized! Ikumbukwe hili eneo limelindwa miaka yote hamna hata fidia itatolewa!
 
Mzee naona aunapambania sana Mambo ya home.. good thing. I wish ungekuwa mbunge wa Bukoba.
 
Sijui umbali wa huu uwanja na KIA ukoje na mim sio mtalaam wa viwanja vya ndege.. lkn wakifanya huu uwanja kwa ndege ndogo (mostly for tourists) au domestic flight afu KIA for international flight hakuna shida
Hii sehemu haina nafasi ya kuwa na uwanja wa ndege kubwa! Runway length haiwezi kuzidi 1.5 km! Ila kwa design hii naona vurugu tu!
 
ndo halli ilivyo sasa, ningefurahi kama tungekuwa tunasema hivi hata kwa wale wanodai Omukanjuguti international airport! Ikumbukwe hili eneo limelindwa miaka yote hamna hata fidia itatolewa!
Hata Bukoba haiitaji International. Airport. Ni basi tu kwa sababu ya accident ila Bukoba airport ni nzuri tu na inatosha .

I agree every region needs an airport.Ila hii hela ingeenda , Kilwa , Mafia , Sumbawanga, Shinyanga hii miji inahitaji airports zaidi
Kilwa na Mafia cause of tourism

Moshi has KIA which is 35 km from Town and still not utilized to its peak
 
halafu watu wasichojua kile kisiwa kisichokaliwa kinaweza kikawa part of the runway! Mpeni Mchina tender anakupigia runway ya daraja pale kuunganisha kisiwa na runway iliyopo au anafanya land reclaimation pale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…