Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na Dar such level of a mall haupati.., Mombasa is killing Dar is slum as days go by..,
Watanzania hawana uwezo wa kujenga malls. Ukiangalia all malls in Tz they either owned by foreigners or government.
 
Asante kwa render
Nyinyi hata renders ndio hamna. Anyway mambo kwa ground is like this 👇👇👇

Altura, 30 floors.
tapatalk_1668432980666.jpeg
tapatalk_1668432982938.jpeg
 
eti Bambuli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lishamba kutoka gongo la mboto, chief zezeta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., sema Bamburi.., yaani BambuRI.., sio LI.., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yaani ni mtaa wa anasa sana!, watanzania wako kwa wingi hiyo mtaa.,
Bamburi Mtambo, Mombasa
View attachment 2416448
View attachment 2416447
View attachment 2416449
Hivyo vijumba ndio huwa nacheka, vinakaa vijumba vya kota zile za mwalimu Nyerere [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na isikue umepotea njia unadhani hapa [emoji116] [emoji116] ni "Bambuli" [emoji23] [emoji23] [emoji23] , hapa sio Bamburi ni moja kati ya mitaa pale Kiembeni mjuu wangu.., zoea Kenya..,
Kiembeni Mombasa..,(mikusanyiko ya estates ndani ya Kiembeni)
View attachment 2416454
View attachment 2416464
View attachment 2416459
View attachment 2416465
View attachment 2416467
View attachment 2416468
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🤣🤣🤣 hii mitaa ukiachana na kwamba haina nyumba za maana Ila pia hakuna lami kabisa 🤣🤣 ni uchafu kama kinga zilizovuliwa 👇
1668432403235.png
1668432310367.png
1668432283749.png
🤣🤣🤣 Hapo ni posh eti 🤣🤣. Don YF. Njoo uchukue takataka zako huku
 
Ni muda sasa turudi kwenye utukufu wetu,.. High rises kalikali, Miaka kadhaa wakunya walikuwa kimya humu hadi wachina walivyowatoa kimasomaso
Sasa zile gorofa zenu tatu zingefanya nani anyamaze? There's no day Dar will rival Nairobi in Highrise especially over 20 floors, over 30 floors and over 40 floors.
 
Sasa zile gorofa zenu tatu zingefanya nani anyamaze? There's no day Dar will rival Nairobi in Highrise especially over 20 floors, over 30 floors and over 40 floors.
Kwani kuna majengo mangapi in the land of kenya yenye ni over 40 floors.? 🤣

Do you want to tell us that there's only 3 buildings in DAR zenye ni 30 floors.?
 
Back
Top Bottom