Sipendagi watu wanaolalamika tu kama Wanawake....Ujenzi wa nyumba ni scam na nkia ya kitakatisha pesa pia kuhamisha pesa.
China wanashida ya kiuchumi kwa sababu ya haya mataka taka.
South Africa kuna viwanda vimejengwa ktk Miji kama chato vina madeni na riba. Hakuna michezo ya maana ya kujaza watu tena baada ya world cup. Gharama ya ukarabati na kuendesha ni kubwa kuliko mapato achilia mbali riba na Mkopo.
Ndio ujinga wamefanya mifuko ya hifadhi Tanzania. Wamejenga kila mikoa eti usawa na kupendezesha Miji. Sasatalipa na mavi na bado yatachakaa na kuharibu Miji.
We jamaa hujui kupiga picha? Au camera yako ndogo?
I was in a moving carWe jamaa hujui kupiga picha? Au camera yako ndogo?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Moving car wapi bhn wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I was in a moving car
Haya hii nayo ulikuwa kwenye moving car?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I was in a moving car
Haya hii nayo ulikuwa kwenye moving car?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2415812
Wati iz this? Ze kualiti of ze kamera thou [emoji28][emoji23]..
ndo mana wanaogopaga kupost picha za waliopiga wao wenyewe [emoji23].. afu huyu ndo alisema anafanya kazi ikulu ya kenya?[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi kuna anayemuelewa huyu? Mbn wakenya huwa hawaeleweki kabisa wanachoongea!! Huwa najiuliza hivi hawa huwa wanaelewana kweli? Mana hata wakiwa kwenye mijadala huko twitter cjui huwa wanaongea manini, yn hawaeleweki kabisa hawa jamaa.
Huyu muda wote anamuwaza Magufuli tu sijui alimkoseaga nini [emoji848][emoji848][emoji848][emoji3][emoji3][emoji3]Haya hii nayo ulikuwa kwenye moving car?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2415812
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii imepigwa wakati wa tetemeko la ardhi? [emoji1787]
Zamani walikuwa wanasema kununua SUV ni kwasababu ya barabara mbovu, sasa hivi mkeka kila sehemu, hadi Kibondo huko kuna lami. Je dhana hiyo bado inamashiko au ndio kupenda vitu vizuri?Nachopendea nchi yangu ni kwamba... Inapenda vitu vizuri.. Na vitu vizuri inavijua... Hata atoke mjenzi kutoa nje huko.. Lazima apewe muongozoo..
Kabla ya kujishebedua kujidai kufundisha, nenda kwanza kafufufe mashada forums.Kuna nini? Unajua kwanini nataka fundisha watz kufikiri ? Pengine pia kuna wakenya kama watz NAO pia wataelimika.
even cyril ramaposa himself admited tht only south africa and kenya are the only two countries that determines the economic direction of the whole eastern and southern africa sub continent region.. and thats why he had every reazon to come over to kenya first before any other country in the great lakes region including tanzania and ethiopia..
he also said, that was the main reazon why he was doing away with visa restrictions between these two economic giants!
[nb: SADC countries, led by Tanzania kapakatwa🍆 hapa🤣]
he also added tht the whole african continent, solemnly are in the hands🤲🏽 of only kenya, south africa , nigeria and egypt. so the integration among these countries must be very strong, so as to ensure the economic well being of the entire continent....
cyril ramaposa here for u guyz... check this out!🔥🔥
he also added tht the whole african continent, solemnly are in the hands
ila aliye na nguvu mpishe masera wangu..Which school did you attend?
Who is Ramaphosa by the way, how can the whole African continent be in the hands of corrupt and the hungry that can't even govern themselves?
In exception of Egypt, the rest are deadly explosives awaiting to explode.
Tz haikuenda Kongo kama nchi bali ilikuwa chini ya UN.Huyu jamaa anasahau kua TZ ndiyo iliyowafurushwa M23 wakawa Uganda ile kitu ileleta nongwa EAC ikazaliwa "Coalition of the willing" tukaingia mgogoro na Rwanda.Wacongo wanaamini TZ isipokuwa chini MUNUSCO inauwezo wa kulisaidia jeshi la Congo kuwafurusha.Shida waafrika tunatumika na mataifa ya kigeni kuwa daraja la kupora Mali za Africa