Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa, tungekua tumejenga hiyo miradi kwenye eneo moja kubwa tungekua na eneo moja matata mno .. miradi ya NHC+UTUMISHI HOUSING+TBA .. sahii tungea na concrete jungle ingine kubwaa tena ya maana kuliko KK .. but pitia hivyo vi miradi wanvyofanya NHC now then get to checkout the surroundings.. ni aibu kwakweli
wacha fikra za ajabu! kwahiyo ule wa Kigamboni ulioshindwa kuisha hujauona? Sioni cha kulalamika! ujenzi ni ujenzi sio kila kitu kuiga! Tunajenga kwa uwezo wetu na kumbuka nyumba zinauzwa baada ya kujengwa! so zijengwe tu hata kama haziuziki? au unataka maghorofa yanayoporomoka yenyewe kama hapo Kunyaland?
 
😀
20221112_193240.jpg
 
One goes for peace (negotiation), another goes for war (protection) 😅

One goes for peace (negotiation), another goes for war (protection) 😅

Ila SADC kuna kitu inafanya si sawa! Hii DRC ni territory ya SADC for long, saahii Mozambique kuna RDF na sasa eastern DRC hawa mbwa wanaenda ukiachia presence ya Uganda na Burundi! Kenya inatumwa na mabwana zake the West kuenda kulinda interests za western nations! Kitakachotokea ni vita kati ya Uganda na Rwanda dhidi ya Kenya!
 
Wakenya ni wajinga hawajielewi.. wako kama nato; as part of west and america's exploitative mission to the region. Na watanyukwa wengi tu
 
Rais Samia anaendelea kutafuna mifupa iliyowashonda Sukuma gang na genge lao 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221112-102208.png
    Screenshot_20221112-102208.png
    185.9 KB · Views: 20
  • Screenshot_20221112-210743.png
    Screenshot_20221112-210743.png
    202.6 KB · Views: 21
Tuzo ya 3 hii Rais Samia anatia kibindoni..

Moja ya Marais wanawake wenye nguvu Duniani 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221112-102316.png
    Screenshot_20221112-102316.png
    120 KB · Views: 19
Back
Top Bottom