Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
a mall in Karen
Hakuna zaidi ya marina 😀Mombasa
![]()
![]()
kweli...inaeza jaribu ila Mombasa haipo nyuma sana kwa Kampala....kampala kwanza haina mpangilio...Kampala na mombasa nadhan kampala kunaweza tema cheche kwa mombasa
nataka uniletee second city ya tanzania nami nikuoneshe yetu😀😀😀Hakuna zaidi ya marina 😀
Ila ukitala beach hotels ndugu zanzibar ni moto
Zitatokea wapi renders😀😀Montav na pinnacle inaenda kutokea hapa...nairobi kuwa na huruma kidogo
![]()
Fungua thread bronataka uniletee second city ya tanzania nami nikuoneshe yetu😀😀😀