Nadhani wewe unashida fulani,Mkuu kuwa mkweli, unawezaje kumsifia mtu anayemalizia kitu ambacho tayari kilianzishwa na kumpuuza muanzilishi mwenyewe?. Kama sio unafiki, mbona unasema miradi yote iliyofanyika kipindi cha Magufuli ni zao la Kikwete na Mkapa lakini husifii JPM kwa kuimalizia?.
Flyovers zote za Dar ni wazo la Magufuli, alianzisha mwenyewe na kutekeleza mwenyewe. Bwawa la Umeme la Nyerere ni wazo la Nyerere lakini utekelezaji wake(Master minder) ni JPM na umaliziaji wake ni SSH.
Meli mpya na ukarabati wa meli zote ziwa Victoria ni mawazo ya JPM na utekelezaji wake ni JPM by 80%
Kufufua ATCL ni wazo la JPM na utekelezaji wake ni JPM by 90%. Upanuzi wa Barbara ya Kimara Kibaha na daraja la Wami na ujenzi wa miradi ya kimkakati yakiwemo masoko na viwanja vya ndege na stand za mabusi ni JPM huyo mkuu.
Bado tunasubiri mama naye abuni miradi mipya wakati akiendelea kuimalizia hiyo aliyoikuta, bado nchi yetu ni changa Sana, Kuna maeneo mengi Sana yanahitaji kufanyiwa ubunifu, anachopaswa ni kutulia nchini na kubuni miradi ya maendeleo
Siasa za husda haziendelezi nchi kwa hiyo hiyo miradi ya JPM iachwe aanzishe yake kama mwendazake alivyouweka kando mradi wa Bagamoyo port?Mkuu kuwa mkweli, unawezaje kumsifia mtu anayemalizia kitu ambacho tayari kilianzishwa na kumpuuza muanzilishi mwenyewe?. Kama sio unafiki, mbona unasema miradi yote iliyofanyika kipindi cha Magufuli ni zao la Kikwete na Mkapa lakini husifii JPM kwa kuimalizia?.
Flyovers zote za Dar ni wazo la Magufuli, alianzisha mwenyewe na kutekeleza mwenyewe. Bwawa la Umeme la Nyerere ni wazo la Nyerere lakini utekelezaji wake(Master minder) ni JPM na umaliziaji wake ni SSH.
Meli mpya na ukarabati wa meli zote ziwa Victoria ni mawazo ya JPM na utekelezaji wake ni JPM by 80%
Kufufua ATCL ni wazo la JPM na utekelezaji wake ni JPM by 90%. Upanuzi wa Barbara ya Kimara Kibaha na daraja la Wami na ujenzi wa miradi ya kimkakati yakiwemo masoko na viwanja vya ndege na stand za mabusi ni JPM huyo mkuu.
Bado tunasubiri mama naye abuni miradi mipya wakati akiendelea kuimalizia hiyo aliyoikuta, bado nchi yetu ni changa Sana, Kuna maeneo mengi Sana yanahitaji kufanyiwa ubunifu, anachopaswa ni kutulia nchini na kubuni miradi ya maendeleo
Hata wew kama upo kwenye nafas ya kupiga awamu hii, piga mkuu utajirike.Ufisadi wa kutisha KIA, mabilioni yapigwa bibi tozo yupo busy na kujichukulia mikopo zanzibar hana habari kabisa
Hii nchi imerudi shimoni kwa kasi ya ajabu
Ufisadi wa kutisha KIA, mabilioni yapigwa bibi tozo yupo busy na kujichukulia mikopo zanzibar hana habari kabisa
Hii nchi imerudi shimoni kwa kasi ya ajabu
Unajua hata kuendeleza lazima kichwa kichaji vizuri, mfano ilikuwa tujenge reli kama ya Kenya, mzee akasema tujenge ya umeme na yenye speed kubwa na uwezo mkubwa wa kubeba mizigo.Mkuu kuwa mkweli, unawezaje kumsifia mtu anayemalizia kitu ambacho tayari kilianzishwa na kumpuuza muanzilishi mwenyewe?. Kama sio unafiki, mbona unasema miradi yote iliyofanyika kipindi cha Magufuli ni zao la Kikwete na Mkapa lakini husifii JPM kwa kuimalizia?.
Flyovers zote za Dar ni wazo la Magufuli, alianzisha mwenyewe na kutekeleza mwenyewe. Bwawa la Umeme la Nyerere ni wazo la Nyerere lakini utekelezaji wake(Master minder) ni JPM na umaliziaji wake ni SSH.
Meli mpya na ukarabati wa meli zote ziwa Victoria ni mawazo ya JPM na utekelezaji wake ni JPM by 80%
Kufufua ATCL ni wazo la JPM na utekelezaji wake ni JPM by 90%. Upanuzi wa Barbara ya Kimara Kibaha na daraja la Wami na ujenzi wa miradi ya kimkakati yakiwemo masoko na viwanja vya ndege na stand za mabusi ni JPM huyo mkuu.
Bado tunasubiri mama naye abuni miradi mipya wakati akiendelea kuimalizia hiyo aliyoikuta, bado nchi yetu ni changa Sana, Kuna maeneo mengi Sana yanahitaji kufanyiwa ubunifu, anachopaswa ni kutulia nchini na kubuni miradi ya maendeleo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkiwa mnatwangana makonde msisahau kutupiana hii ili kutitiza ujumbe [emoji23]
View attachment 2406435
Deogratius Kivevele on air [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkiwa mnatwangana makonde msisahau kutupiana hii ili kutitiza ujumbe [emoji23]
View attachment 2406435
Aisee...kenya kuna tatizo kubwa sanaUpande mwingine wa Nairobi.
Kenya ni takataka mkuu yani kushoto kulia, hakuna kwenye afadhali, ikiwa ka Nairobi tu ni kachafu na ndiyo kanamiliki slums kubwa zaidi duniani unategemea nini hapo.Aisee...kenya kuna tatizo kubwa sana
Lengo langu ni kusisitiza mijadala bila matusi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji854]
Geza, bado Nina imani Sana na uwezo wako wa kuelewa na kujenga hoja za nguvu, japo siku hizi umeamua kwa ridhaa yako kuzima Engine na kukumbatia ushabiki zaidi.Siasa za husda haziendelezi nchi kwa hiyo hiyo miradi ya JPM iachwe aanzishe yake kama mwendazake alivyouweka kando mradi wa Bagamoyo port?
Kama ya JPM mbona isiishe? Hivi unajua kwa design ya ujenzi wa SGR wa JPM yaani kwa kudunduliza SGR Ingechukua miaka mingi sana?
We have stood with China through thick and thin lazima wa value our friendship. Hao wengine urafiki wao na China uko kimaslahi tuu bakuli mkononi. [emoji16]Angalau china tunapewa heshima tunayoistahili kuliko kuzunguka kwenye nchi za ulaya na marekani ambapo hatupewi heshima wala hatupati wawekezaji