Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Kakamega county is almost 6 times larger to Mombasa county.. π€£π€£π€£ unajifanya hulijui hilo.? π€£π€£View attachment 2404199
Kwa akili yako Kakamega iko na majengo zaidi ya Kisumu ama Mombasa or Nakuru na Nairobi.., kwa vile naona inasema Kakamega county leads with 369,976 π π π π π π π ., unalinganisha majengo na idadi ya umiliki, yaani wewe leo umekua zwazwa zaidi, yaani ni uzezeta unaleta humu eti ndio data ya majengo ya Kenya, ujinga mzigoππππππππ..,
Yaani Kiambu tu ata usiseme..,
wacha niende zangu niko na shughli sehemu...,
Mimi sio nilioandika unimeze bure, hiyo ni census report yenu mzee π€£π€£π€£Huyu ni zuzu, kwa akili yake inamaanisha Kakamega iko na majengo mengi kushinda Nairobi..., Kakamega 363,381, Nairobi 138,976 π π π π π π π π π π
So Kakmega iko na buildings mingi kuliko Mombasa eti?.., sawa basi uko sahihi π π π π π π π πKakamega county is almost 6 times larger to Mombasa county.. π€£π€£π€£ unajifanya hulijui hilo.? π€£π€£
Na unajua inachosema kweli? majengo ama wamiliki?..., mbona wewe boya..., sawa basi uko sahihi kwa akili zako hizi., nimetii , heheheπ π π π π π π πMimi sio nilioandika unimeze bure, hiyo ni census report yenu mzee π€£π€£π€£
We jamaa ni mzembe wawapi .? π€£π€£π€£ .. sehemu yenye ukubwa mara sita unategemeaje kutokuwa na idadi kubwa ya majengo.?So Kakmega iko na buildings mingi kuliko Mombasa eti?.., sawa basi uko sahihi π π π π π π π π
Wamiliki majengo eneo fulani ndio wanawakilisha idadi ya majengo yote yaliyopo eneo hilo, mbona ni logic rahisi sana.? π€£π€£ Au hii pia unahitaji elimu jameni.?Na unajua inachosema kweli? majengo ama wamiliki?..., mbona wewe boya..., sawa basi uko sahihi kwa akili zako hizi., nimetii , heheheπ π π π π π π π
Sisal, cashews, coconut, coffee, cotton, pareto, cloves, tea, sesame, banana, sunflower, dry beans, rice, corns, rice, avocados, potatoes, sorghum, millets, grapes, groundnuts, oranges, mangoes, pineapples, cassava, onions, tomatoes the list is endless!ππcash crops gani hiyo mnaongoza Afrika only,ata so dunia???
Niliambiwa sababu mojawapo ya kwann Nairobi inajaa sana watu asubuhi na foleni ni kali sana jioni ni kwamba watu wengi wanaenda kanairo kufanya kazi wanaishi mikoani...mtu anatoka nakuru anaenda Nairobi kubangaiza jioni anageuka...sasa maeneo mengi ya jirani wanategemea NairobiWakenya wote mmejazana ka Nairobi cz ndio mji pekee ambao kdg unaeleweka huko kwenu. Sisi huku maendeleo kote kote thus y tumetawanyika.
Kenya sijaona data ya nyumba, ama wewe uko nayo?.., nilikuelezea hiyo ni debate nyingine tofauti..,
Pumba sana, hata maana ya home nayo uelezewe...... Home ni pale unapolala na kula, Nyumba inajumlisha jengo lolote hata yale ya kibiasharaUnajaribu kukimbia π€£π€£π€£ hao home owners ndio wanawakilisha kila nyumba iliyopo hapo Kenya..
I
Pumba sana, hata maana ya home nayo uelezewe...... Home ni pale unapolala na kula, Nyumba inajumlisha jengo lolote hata yale ya kibiashara
Kama hapa takwimu zenu za 2012 wakati population yenu ilikua 45Miillion zinavyo onyesha .. Hizo ndo nyumba za "home Owned"
View attachment 2404237
Ndo najaribu kumwelezea huyo mwenzako kwamba takwimu anazopost za kenya ni za dwelling houses, alafu analinganisha na majengo yote Tanzania ambavyo haifai kulinganishwa!Hapo ni dwelling houses ndiyo zinazungumziwa. Hapo bado owners wa majengo ya matumizi mengine. Maana majengo au nyumba zina matumizi mengi.
Ndo najaribu kumwelezea huyo mwenzako kwamba takwimu anazopost za kenya ni za dwelling houses, alafu analinganisha na majengo yote Tanzania ambavyo haifai kulinganishwa!
Hii dawa yake ni kupunguza kodi kwenye nishati ya gesi hili majority waweze kuafford gesi instead of having committee ambayo nayo itahitaji fund kijiendesha. Hila kupanga ndio kuchagua
what I only know that Inapandwa na white persons company who have leased landπit's Kakuzi they have a very big pinaple irrigation area the biggest in Kenya lakini izo zengine wakulima wadogo wadogo ndio wanapanda mashambani zaoSisal, cashews, coconut, coffee, cotton, pareto, cloves, tea, sesame, banana, sunflower, dry beans, rice, corns, rice, avocados, potatoes, sorghum, millets, grapes, groundnuts, oranges, mangoes, pineapples, cassava, onions, tomatoes the list is endless!
Nyang'au wanapenda kulazimisha vitu visivyolazimishika.Hamna mkenya hapo