Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumba za kuku pia mnahesabu?
 
Hahahaha Yaani taarifa zako unazojengea hoja humu ni comments za watu 😂😂😂😂 Kama ile comment ya wakunya ndio wenye mashamba Tanzania lakini kuyaleta hamuwezi 😂😂😂
ukweli mchungu.., mko hovyo sana.., na hii uchumi yenu hafifu hapa ni muujiza utawakomboa..,
 
ukweli mchungu.., mko hovyo sana.., na hii uchumi yenu hafifu hapa ni muujiza utawakomboa..,
View attachment 2404072
Kuna any kind of growth isio na extra adjustments? Mtoto akikua tu kimo zipo nguo mpya itabidi anunuliwe, hiyo statement ipo obvious

Kikubwa ni kwamba tunaongezeka lakini hatufi njaa kama ninyi, tunajitosheleza na kuhudumia Africa, ninyi mpo mlivyo lakini hata 10% hamjitoshelezi aibu 🚮🚮🚮🚮
 
Mali ya Mzungu, sasa ninyi mnamiliki nini huko?
Crystal Rivers ambayo nimepost hapo juu zinamilikiwa na Mkenya
Riverbank Apartments nimepost hapo juu zinamilikiwa na Mkenya

Greatwall Aprtments ambazo nimepost zinamilikiwa na mwekezaji Mchina lakini hizo ni nyumba za tenant purchase scheme na za mortgage, Yani unalipa rent lakini ndo polepole unanunua nyumba kabisa, baada ya miaka 12, 15 au 20, wewe ndo mmiliki wa nyumba 100% kwahivyo hata zile apartments unazodai ni Mali ya wazungu na wahindi, Baada ya miaka kumi hadi ishirini zote zitakua ni nyumba za wakenya 100%. System ya tenant purchase scheme inawezesha alie hana uwezo wa kukohoa mamilioni ya pesa kwa mpigo kumiliki nyumba baada ya miaka kadhaa...

Hata zile nyumba mpya za Kibera mulizokua mnacheka ati zinajengwa na mzungu, hizo ni nyumba za serekali, mwekezaji ni mzungu. Serekali itampatia mzungu shamba, mzungu atajenga akimaliza atakusanya kodi ya nyumba kwa miaka ishirini, baada ya miaka ishirini umiliki wa nyumba 100% utaenda kwa wanaolipa kodi.


Najua haya ni mambo ambayo akili yako fupi haiwezi kuelewa, lakini kwa kukuelezea wewe, naelezea pia wenzako ambao wanapita kimya kimya, najua kuna wengine wataelewa

So what is a tenant purchase scheme?

What is a tenant purchase scheme?​

A tenant purchase scheme is simply a house-ownership plan which allows a tenant to purchase the flats/residence they have rented.
Under the arrangement, the rent you pay goes towards redeeming the purchase price and the house title is transferred to you as soon as you pay off the whole amount.
In most cases, you’ll first agree with the developer on the period and interest rate.
All you have to do after this is to pay your agreed monthly rent to cover the balance.



----------------------------------------------------------
Kwahivyo hii system tunayotumia kujenga Affordable Housing Project haina tofauti na kama vile nilivyo waelezea kuhusu expressway ikijengwa kama PPP.
Tofauti hapa ni mwekezaji anajenga nyumba alafu anaingia mkataba wa loan na mpangaji nyumba, mpangaji nyumba akilipa kodi ya mwezi ndo analipa deni hadi ule wakati atakapo maliza kulipa + interest, baada ya hapo mkaazi wa ile nyumba anamiliki 100% na mwekezaji atakua aliregesha hela zake na akatengeneza faida..

Kama unataka kujua zaidi kuhusu hii system ya umiliki wa affordable housing inkia kwa hii tovuti ya serekali ambapo mkenya yoyote anaweza ku apply kumiliki hizo nyumba

 
Kenya's households projection by 2025, 14.25 million 👇View attachment 2403435while 2022 census report shows that there are 14,348,372 households in Tz 👇View attachment 2403456
unajua maana ya neno household kweli? ama unadhani ni jumba haswa? yaani watu wa censor wakifika kwenye boma lenu, watalihesabu kama household moja.., ila pale kunaweza kukua na nyumba kadhaa, kwa mfano ya wageni, "simba" (cottage) ile ya vijana etc.., household sio jumba haswa dogo.., bana hizi aibu za kutokujua kisha unakurupuka punguza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

yaani nyoote ni zwazwa ata mchapishaji wa hili👇👇 eti idadi ya majengo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Usiniandikie ngonjera nitajie owner wa crystal pearl real-estate
 
we Unazungumzia kuhusu nini.? After all sisi tuko na nyumba nyingi kuwazidi,
 
si unaona.. source ni gani....... !?
eti 'Tanzania Ministry of Energy' [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Takwimu ya kwamba Watz wapo 61m imetolewa na nani? Mbn umeikubali lkn hiyo ya electrification unaikataa.
 
Breaking news😭😭😭so so sad!!!
Quavo,Offset,Takeoff hip hop musicians!!
Take off is dead,head shot💀🤞
2PAC💥
 
Ardhi inawalisha kama wanyama pori, ila kwa sasa ukame umewakamata, bei ya bidhaa imepanda, kupata maji na umeme ni kama solving a complex puzzle kule kwenu., haitangazwi ila ndio hali Tanzania ya sasa..,
wacha nikotoe ujinga ulio nao wewe.., omba Mungu sana isiendele kwa vile nyie ni wanyonge itakua janga la dunia kuwasaidia kama vile Ethiopia miaka ya nyuma, mko hovyo usijitekenye😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂...,






 
Hayupo mkenya mwenye uwezo wa kumiliki hii project, ungesema msomali ningekubali ila ninyi bado
kachunguze wanaokuja kutoka Kenya kuwekeza kwa Nchi yenu,DRC,Uganda,Rwanda,Burundi,South Sudan,Somalia,Somali Land,Punt land,Jubaland🤑Kama ni wasomali!!!
Usitubebe ndogo💩
 
Bei ya chakula ikipanda faida ni kwa nani? Obviously ni kwa mtanzania, kunyaland bei ya chakula ikipanda faida pia ni kwa mtanzania, hamna mnaloweza
 
we Unazungumzia kuhusu nini.? After all sisi tuko na nyumba nyingi kuwazidi,
umeelewa maana ya neno "household" kwanza?.., nyumba, yaani mijengo hiyo ni debate nyingine.., kisha mko wengi zaidi ya Kenya by over 10 million!!.., uchumi hafifu, ufukara, taifa kubwa, shukuru Mungu kwa ardhi, nyie na wanyama pori mko kwa the same whatsapp group kimaisha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Usiniandikie ngonjera nitajie owner wa crystal pearl real-estate
Na mmiliki wa Crystal Rivers Mall na Gated community ni Wafanyikazi wa safaricom kupitia Malipo yao uzeeni

Crystal Rivers Safaricom Mall and Gated Community is a Safaricom Staff Pension Scheme(SSPS) Development conveniently situated on the busy Mombasa Road, 1.2 Kms past the Mombasa/Namanga Roads interchange on the border of Nairobi County and Machakos County
------

Lakini wamiliki wa hizo nyumba baada ya kulipa mortgage itakua ni wakaazi na sio hao Safaricom pension tena.... Hapo ndo maboya hamuelewi



Na hata ile Riverbank apartments nliopost pamoja na Two rivers Mall ambayo ndo the biggest mall in East and Central Africa, ni project ya marehemu Cris Kirubi ambaye ni mkenya, angalia hapo kwa arrow, CK Square --- yani Chris Kirubi



Two RIvers Mall


Huyo Cris Kirubi yeye ndo bado anajenga Mzizi affordable Housing project

 
Bei ya chakula ikipanda faida ni kwa nani? Obviously ni kwa mtanzania, kunyaland bei ya chakula ikipanda faida pia ni kwa mtanzania, hamna mnaloweza
Bei imepanda nyumbani kwenu wewe unasema faida ni kwa mtanzania asie kua na uwezo wa kununua, unajiliwaza na huu ujinga wako, mmepatikana, uchi wenu uko wazi, omba Mungu ukame isiendelee bure mtaihama nchi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…