Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehee hana nguvu hio.. nilijua baba tozo. Baba tozo ana nguvu kuliko obama wa bongo.
Asingeweza kuwa baba tozo sababu hata hivyo yeye ndio chaguo lake, juzi akiwa Geita anazindua grid ya ukanda huo body language ilikua inaonesha kabisa kipara na yeye haziivi, hawezi kumtumbua sababu anajua ni team msoga mambo yatakorogeka ila wangekua hawa wasio na godfathers siku nyingi angeshampiga chini.

Anamuogopa kipara mno, kile kimama huwa kina kisirani mno ila kwa kipara kanoa, kumbuka ndugai alivyoshukiwa jumla jumla ni sababu alikua anammudu na alikua hana backup ya msoga
 
Akili ndogo sana huyu mama, Kitendo cha kumuondoa Kabudi, Lukuvi et al na kwenda kinyume na formations nyingi za awamu iliopita zimemuondolea credibility kwa Watanzania na hakuna namna anaweza kuaminika ukiachilia mbali hoja kubwa yeye ni mwanamke, wanajaribu mno kumdisplay kwa nguvu lakini bado hagawiki hata bure, watanzania wengi wanaamini sio yeye anaeongoza nchi in fact ni kweli hana uwezo wa kuongoza nchi!
 
I need reliable sources like WB, Knight Frank, PriceWaterHouseCoopers, Forbes, AfricanBusinessMagazine etc.
sio sources uchwara uchwara.
Infact many sources of all this shit were reports and data compiled in Dar es saalam itself..
so wht do u expect?.. tht Tz is behind kenya!?....... 🤔🤔
unless you want your consultancy firm, burnt down or closed permanently, even if u were saying the truth.


look at wht Tzs almost did to Baba Levo, they were almost crucifying him. everyone seemed to condemn him, yet he was standing on pure facts.. on nothing but truth🖐🏽
 
Pumbavu, huoni credible sources hapo?
 
Sasa hapo serikali ndo imejua sasa wapi pa kupeleka nguvu zaidi katika maendeleo....

Sio kila kitu Dar Dar
 
So, according to your stupid learning, only correct data are those presented by a white man or white man's establishment
Do you know why I use words like slave, arrogant and many others when identifying Kenyans?

 
Sasa hapo serikali ndo imejua sasa wapi pa kupeleka nguvu zaidi katika maendeleo....

Sio kila kitu Dar Dar
Ni kweli. Lakini serikali ya awamu ya tano ilizika juhudi za ku-promote family planning. Propaganda za kuzaa watu wengi ili tufikie population ya kama Nigeria na uchumi wao ni kitu alichowahi kusema Magufuli wakati Fulani. Lakini ukitazama Nigeria na uchumi wao mkubwa, bado maisha ya watu wao wengi ni duni mno. Hii mikoa yenye ongezeko kubwa la watu sidhani kama ina watu wengi wenye elimu na pia subsistence farming Ndio main economic activity. Kwa hiyo familia yenye watoto wengi Ndio inazalisha chakula kingi zaidi, so these people know nothing about family planning.

Pia unasema kuwa sasa hivi serikali inafahamu ni wapi kupeleka maendeleo? Una-assume kuwa Kwa sasa sehemu zen ye maendeleo zaidi basi hazihitaji improvements. Bado kuna sehemu madarasa hakuna Au hakuna madawati, hakuna huduma muhimu nk.
 
Mbona unakubaliana na idadi ya watanzania kufikia 61.7M, mbona usisubiri Hadi hizo "reliable sources" zikatoa data zao?[emoji23][emoji23][emoji23]

Kama unakubali kwamba idadi ya watanzania ni 61.7M, basi pia unapaswa kukubaliana na hii Tanzania outpace Nigeria in rural electrification rates - ESI-Africa.com
 
 

Blow job 50 [emoji3][emoji3][emoji3]
 
ok... so tanganyika inaongoza kote barani afrika..... 🤔🤔
ok. sawa basi.. wacha niamini 100%. 🤣🤣🤣 nyinyi ni babalao walai..

👍🏽si hapo tuko sawa. nimekubali, so msinipige vita wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…