Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuwa najiuliza dirisha unafunguaje hapa, kumbe ni full AC, alafu tunaambiwa hizi third class, yajayo yanafurahisha.
 
Sio kila kitu unabisha tu ili mradi, kama sio ya kufungua dirisha basi tueleze hii separation hapa kazi yake nn?
 
Hivi vitasa ni noma mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikuwa najiuliza dirisha unafunguaje hapa, kumbe ni full AC, alafu tunaambiwa hizi third class, yajayo yanafurahisha.
Huo mzigo umeundwa from scratch Sa wanategemea utakua mzigo wa kitoto?lazima iwe Mali haswaa,Tusibiri 2nd and 1st class locos tuone...I hope hata kichwa haakitakua cha kindezi
 
Wanajiandaa kua super power miaka kadhaa ijayo...sisi kwanza tufute umaskini uliopindukia na tujenge barabara before tuwaze hata kua no1 Africa
Niliongea na mama mmoja wa kimarekani juzi kati alikuwa anaelekea Kilimanjaro nikamtania "China inakwenda kuchukua nafasi ya USA kama Superpower miaka michache ijayo je wewe unakubali hilo?" Akajibu shortly kabisa "Definitely "
 
our childhood USA vs USSR is still very much alive! cold war is still on fox! 💣💥

third world war is looming guyz..



infact its clearly written in the bible, in the book of Revelation, as the very last war ie. 'Armageddon' that will happen, hence bringing the world to an end!
... 🤔 thts what the bible would also reffer to as the 'Rupture'

nb:
biblical and islamic prophecies are not hoax guys, it shall all come to pass. they were 100% accurate these prophets!



 
Hizi mchele za Tanzania zimejaa mawe plus uchafu
Lazima uzichague kabla upike .
Mzee mchele unaoletwa huko ni wa kiwango cha chini hku ,wakenya wengi wananua mchele kahama wakati hku mchele wa kahama ndo mchele wa kiwango cha chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…