Umesema vyema,Ila bado sinza hapajachoka still kuko busy...Tabata haha I know wanakuja vyema pia hua naenda kula kuku tabata na kula bia pale kwetu ni pazuri...but all in all mji umekucha sana sahivi but Sinza in all way pako juu huu tabata me mbali tuearly to mid 2000s,sinza ilikuwa ni moja ya suburb maarufu sana jijini dar.
umaarufu wake ulichangiwa na celebrities wengi wa wakati huo,ku-rent nyumba maeneo yale.
pili,umaarufu wa sinza ulichangiwa na fresh university graduate...walipopata ajira zao za kwanza,wengi wao walienda ku-rent house sinza.
hali hii ikapelekea sinza ionekane ni kama beverly hill estate ya dar,ambapo kila kijana alikuwa ana ndoto ya kwenda kuishi.
sababu nyingine iliyopelekea sinza kuwa maarufu ni uwingi wa bar/lounge na nightclubs za kwenda kula bata.
ila kwa sasa sinza inapata upinzani mkubwa na eneo la tabata.
kwa nairobi,eneo ambalo vijana wengi hipenda kuishi ni buruburu.ni suburb poa sana.
Baada ya kufail CHAN leo raisi wa KFF amesema sasa wana jiandaa ku host World Cup!! Kenya wanavituko sana.. [emoji1]repost:
bad news for Kenyans....is it because of insecurity issues or what?.
keyboard ilitelezaSio rafudhi,mwanangu,ni lafudhi.
si huwa mnasema dar hakuna mitiThat green is amazing
yaani kunafanana na kambi za w[emoji1] akimbiziHio nini unatuekea hapo????
naishi ushago....siishi down-town dar es salaam.[emoji12] [emoji12]Na jee wewe huishi wapi kadoda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Baada ya kufail CHAN leo raisi wa KFF amesema sasa wana jiandaa ku host World Cup!! Kenya wanavituko sana.. [emoji1]
early to mid 2000s,sinza ilikuwa ni moja ya suburb maarufu sana jijini dar.
umaarufu wake ulichangiwa na celebrities wengi wa wakati huo,ku-rent nyumba maeneo yale.
pili,umaarufu wa sinza ulichangiwa na fresh university graduate...walipopata ajira zao za kwanza,wengi wao walienda ku-rent house sinza.
hali hii ikapelekea sinza ionekane ni kama beverly hill estate ya dar,ambapo kila kijana alikuwa ana ndoto ya kwenda kuishi.
sababu nyingine iliyopelekea sinza kuwa maarufu ni uwingi wa bar/lounge na nightclubs za kwenda kula bata.
ila kwa sasa sinza inapata upinzani mkubwa na eneo la tabata.
kwa nairobi,eneo ambalo vijana wengi hipenda kuishi ni buruburu.ni suburb poa sana.
hapo umedokezwa...kidogo.....tu...behaviour ya hilo eneooh ...so sinza ndio upanga. ....?ok
hapo umedokezwa...kidogo.....tu...behaviour ya hilo eneo
Sinza sio upanga..oh ...so sinza ndio upanga. ....?ok
powa.....zombie......[emoji13] [emoji13]chokoraa zako ni team insomnia tu....ku time members wakishalala. Haiya wacha mimi pia nijitose usingizini. ....uswazini kugumu
hapana.oh ...so sinza ndio upanga. ....?ok
Which building has 44 in nai??Tuusan bana acha kuniangusha...hehee.najua wewe huwa hubishani na ushabiki.yani kumbe tumewashinda na buildings 15 complete na u/c..mko na 29 bana when tuko na 44...ghai.nmewadharau sana.hahaa
Maji yamezidi ungaBaada ya kufail CHAN leo raisi wa KFF amesema sasa wana jiandaa ku host World Cup!! Kenya wanavituko sana.. [emoji1]
We kama ni Me utakuwa mchicha mwiba sio bure nina kila sababu ya kufikiri hivyo!
Iliteleza wapi?? sema tu ilizoea ivo.ila bado nasubiri tu.keyboard iliteleza