Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

,ukipata world standard kama hiiπŸ‘‡πŸ‘‡ usiogope kuni tag.., mtu bladfwakin kabisaa., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Parklands..
View attachment 2397239
🀣🀣🀣🀣 Kweli dunia simama nishuke, hii ni world standard.? 🀣🀣🀣🀣 ..
 
Dar pelekea wa Malawi wewe chief tahira., uwadanganye na hako ka CBD kamoja., kwingine takatakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona uko inferior sana mzee, Posta na Kariakoo ni CBD moja.? 🀣🀣🀣🀣
 
Naona uko inferior sana mzee, Posta na Kariakoo ni CBD moja.? 🀣🀣🀣🀣
Zaidi ya hapaπŸ‘‡ kuna nini? nimekwambia nenda ukadanganye waMalawi banaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Third world mtaa in Nairobi Eastlands.., hapa ingekua Dar ni kwa matajiri levels za Oyster bay.., Tanzania bado ni 6 world standards kwa upana na urefu..,




 
Most definitely .. tena ni cool kuliko hizi takataka zenu zenye hazina hata lami au lami mbovu mbovu 🀣🀣🀣🀣..
Upanga
Osterbey
Masaki

Them all cooler than anything u guys have .. ukibisha twende ground
Ndio hiyo Masaki inayoongelewa. Remember Masaki is the best neighborhood in Tanzania. 🀣 🀣 🀣
 
Ndio hiyo Masaki inayoongelewa. Remember Masaki is the best neighborhood in Tanzania. 🀣 🀣 🀣
Wanajikaza sana, utaona wataishiwa pumzi watafute pakutokea Kibera na picha zilizo pitwa na wakati πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Dar pelekea wa Malawi wewe chief tahira., uwadanganye na hako ka CBD kamoja., kwingine takataka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani nyie mna CBD ngapi hebu ziweke humu mana nakusikia ckia unaongelea CBD mara kwa mara, yn nyie vimajengo viwili vikiinuka tayari mnaita CBD, mbn cc hatuiti Victoria a CBD. Mnaita CBD na bado vighorofa vyote viko sehemu moja wkt cc from CBD to new CBD ni km kibao. Nyie ni vichaa.
 
Hakuna kitu Dar mrogi.., nyie u have one single CBD., mengine ni levels za Eastleigh, ata hiyo Eastleigh imepanda bei sana, ama na hii pia eti ni CBD? nyumba za waarabu na wahindi town centreπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., stone age city, nyambaffπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kabul Afghanistan..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…