Bahati mbaya kwao ni kua mm najua mpaka rangi za chupi wanazovaa ndio maana hua wananiogopa sana na wengi wao hawanipendi 😂😂😂Tony alisema siku wakimtibua ataweka hadharani uozo wa Kenya ambao sisi hatuujui, au kaamua kukutupia huu uozo mana sijawahi kuuona huu uchafu ndani ya CBD [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahyo we hapo ndio unona kumeiva kinoma [emoji23][emoji23][emoji23]...Hapo ni nje kabisa ya jiji, ni nyumba za kawaida ila classic, kiafrika Africa huwezi kusema eti nyumba hizi bado sn labda kama utalinganisha na nyumba za masaki au kwingine classic. Kuhusu mchanga mji ndio unakuwa, huwezi kuita nyumba kama hii eti bado kwa level zetu, utakuwa kichaa wewe.View attachment 2396854View attachment 2396855View attachment 2396857
Waambie wakatae sasa kua sio nairobi 😂😂😂😂😂KICC ileeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Badala wasafishe mazingira wanakimbilia kupiga picha wanaharakati wakenya bhana😂😂
Wewe ni kichaa, huo ni mji mpya Africa inajulikana, kwa hayo mazingira pako poa kabisa hakuna uchafu kuna mchanga tena ni mweupe msafi kabisa, wengi wenye hizo nyumba bado hawajahamia hapo unataka paweje, au kwasababu tumeongelea China na Cape Town ndio unaona pako hovyo, wacha mihemko.Kwahyo we hapo ndio unona kumeiva kinoma [emoji23][emoji23][emoji23]...
We jamaa unaitani sana,Nyumba sio jengo tu ni pamoja na mazingira yanayozunguka pia,Hata kama hakuna paved road basi ndio ushindwe kuboresha mazingira nje ya nyumba? Anyway unaweza usinielewe ni sawa pia
Hati za serikali za mtaaHalafu hati ya hivyo vipande wanatoa wapi?
Aiseee ya leo kali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waambie wakatae sasa kua sio nairobi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2396905View attachment 2396906View attachment 2396907
Oya wakuu hii sasa imepitiliza, hii ni zaidi ya disaster [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waambieni wakatae hapa sio nairobi [emoji23]View attachment 2396909View attachment 2396910View attachment 2396911View attachment 2396912View attachment 2396913View attachment 2396914View attachment 2396915View attachment 2396916View attachment 2396917View attachment 2396918View attachment 2396919View attachment 2396920
Kuchafu mnoWaambieni wakatae hapa sio nairobi [emoji23]View attachment 2396909View attachment 2396910View attachment 2396911View attachment 2396912View attachment 2396913View attachment 2396914View attachment 2396915View attachment 2396916View attachment 2396917View attachment 2396918View attachment 2396919View attachment 2396920
Wewe ndio kichaa banaWewe ni kichaa, huo ni mji mpya Africa inajulikana, kwa hayo mazingira pako poa kabisa hakuna uchafu kuna mchanga tena ni mweupe msafi kabisa, wengi wenye hizo nyumba bado hawajahamia hapo unataka paweje, au kwasababu tumeongelea China na Cape Town ndio unaona pako hovyo, wacha mihemko.
Kwahyo umeona ukisema gdp yenu ni 120 ndio utakua umeweza sana? Mbona usiround off 67 to 70?umbwaMombasa port is 8km long, Dar-is-a-slum port is 3km long [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mombasa port 33m tonnes per year, Dar-is-a-scam port 15m tonnes per year
Mambo ni double double
Kenya GDP $120b
Danganyika GDP $60bView attachment 2396947View attachment 2396948