Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Marehem John Kijazi, Allan Kijazi (KM Ardhi) na Agnes Kijazi (MD TMA) ni mtu na wadogo zake. Kuna harus ya mtoto wa Marehem John niliendaga walitambulishwa wote
Hata ukiacha hao wanaojulikana kuna wengine huwa wanapita pale JNIA wanaelekea Dodoma wana nyadhifa mbalimbali, hii ndio inaitwa favouritism ss.
 
japo tanganyika kuna wasanii wengi wazuri tu, kama vile zuchu ama nnandi, ila bado saaana...
hadhi zao hazijafika worldclass standards kwenye r&b genre kama baadhi ya wasanii wakikenya ama SA

Zahara Loliwe from SA ni moja wepo, ama ata huyu mkenya Nikita

nikita chebet from karen, nairobi πŸ‘‡πŸ½


zahara loliwe from somerset west, capetown
 
...picha sio ya mwenye ku post, ni courtesy ya "ma3route.com kilaza, kukurupuka hujambo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
hio ni nyinyi an LDC.. hatuna tyme na nyinyi..


but did u knw SoutiSoul and H_Art The Band are more famous in SA, Nigeria and Ghana than even your so called DiamondPlatnumz!

if u didn't know.. now u know!
Hao wasanii au wanamuziki wenu wamewahi kushinda tunzo gn Africa hebu tuambie alafu na mm nikuletee orodha ya wanamuziki wetu walioshinda tunzo mbalimbali hapa Africa na duniani kwa ujumla.
 
Lishamba, ukiona miti unadhani pori, wewe ni mtu bladfwakin kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnasafari ndefu sana.
 
Mombasa hii yenye nyumba nyingi za udongo au kuna nyingine, angalia hii wala sio ya udongo lkn dizain yake sasa, Kenya bhn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnasafari ndefu sana.
Naona pia Berlin Germany wako na safari ndefu sana kufikia Dar, pori tupu (kwa akili zako uchwara)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ujinga laana mjukuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ so Dar betters Berlin, mtu bladfwakin kabisa humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…