REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,664
- 11,664
Are you serious!??
Wachina nao wanachelewa sana bhn kila siku wanasema hv hv lkn hawachukui hatua, wafanye upesi.
Kwnn unapaita town au kila kwenye lami ni town, so wakazi wa hapo town wanaishi kwenye road? Nyumba ziko wapi sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fikeni huku KwanzaKaren: You won't find this leafy, wealthy, modern environment in any other city outside Nairobi and SA in Africa.
Meters 3 tu, kwengineko ni Giza
This is contemporary, we have lots of those in Kenya. The one I posted is a Kenyan design modified from the British and it's mostly the compound and neighborhood I was showcasing. You wouldn't tell though because you're stupid.Fikeni huku Kwanza
Na wasipopelekewa maendeleo wanalalamika kuwa wanaonewa. [emoji848][emoji2955][emoji52][emoji58]Huku Tabora kuna matatizo, yaani wenyeji wa hapa wachache wenye maendeleo Wana uswahili mwingi. Wana Tabia ya kukwamishana Sana,hivyo sio ajabu kufanya Mambo kama haya.
[emoji846][emoji846] huwezi kuelewa vichwani mwao wanawaaza nini [emoji848]Hawa ni watu wa hovyo sana,Apo ukute wamemind kwann mmewaunganisha na umeme
Huwezi kuamini kwamba iyo gatundu ni moja ya maeneo yanayoilisha kenya ni kama vile mkazi wa mbeya au morogoro alalamike eti kuna njaa kwa kifupi nyumbani kwa kenyatta kuna njaa🤔 nchi ya GDP kubwa
Kibaha-chalinze-moro ni 4lanes huu mradi unaanza ndani ya mwaka huu wa fedhaAkijenga hii barabara mama atakuwa kaupiga mwingi.
Zile njia nane ajitahidi zifike chalinze.
Njia nne zingine moro Dom, ingawa kwa mimi naona moro dom wangeiacha kwa sababu ya ujio wa sgr eneo hili, labda wangeanzia chalinze kuelekea Kaskazini.
Kingine ni kudeal na barabara zenye msongamano kwenye majiji.
Barabara zenu zina humps iyo bugatti yenye low ground clearance inapita wapi?