Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lile eneo la TRC Dodoma mjini wanapanga kujenga bonge moja la project kama Mlimani City
 
Mkuu kwanza
mkuu Njombe hatuna sehemu inaitwa ITILIMA,Pia unapaswa kujua historia ya structure ulizoweka hapo.Hiyo stendi ilianza kujengwa 2013 na ilikuwa sambamba na mradi wa soko,ndio stendi na masoko ya mwanzo kabisa kupata ridhaa ya serikali kujengwa chini ya mkopo kutoka Worldbank.
 
kua umesahau sisi Capitalist nyinyi Socialist.. !! aah??🤷🏽‍♂️ let tht sink in.. into your sub-conscience part of your small brain 🧠
 
Nimepita tangu hko juu mpaka hii page ya mwisho sioni wakenya, Mna uhakika hawa ndugu zetu ni wazima wa afya[emoji28]

Mnauhakika njaa haijafanya yake?[emoji28][emoji2]
Wanaugulia maumivu, tumewapiga K.O matata sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna hii pia.

Nchi ya dhiki, njaa na magojwa ya kila aina mpk yale ya aibu. Yani ukiingia kwenye search engine yoyote ukaandika ugonjwa au njaa huwezi amini jina Kenya linatokea[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona Kwenye ujenzi wa SGR kila baada ya km nyingi kuna minara inayofanana na ile ya simu mkandarasi anajenga pembeni ya reli.
Nitafurah kama itakuwa ni TTCL, kampuni ya serikal. Kama sio wao, TTCL watakuwa wajinga sana kuona hii fursa😅..
lkn itakuwa ni TTCL mana huwa wanatangaza products zao kwenye trains za TRC, yan wameambiana ndan kwa ndan kuwa tunahitaj huduma za internet za uhakika njia nzima ya SGR, hivyo TTCL wakashangamkia hii fursa haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…