Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barabara inatakiwa kupanuliwa kuanzia Kisesa kuja mjini na kuanzia Usagara kuja mjini, zinatakiwa zipanuliwe njia 6 na BRT katikati.
 
Bora daraja liishe maana vivuko vinatutesa sana hasa wakati wa mechi za Simba na Yanga
 
Hizi huduma alizianzisha nani au ni mwanda zake jamani katuacha kwenye ramani ya dunia
 
Tumewaongezea pressure, watamuua Ruto this time [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pale stesheni TRC watavunja ofisi. Tayari kwa upande wa Polisi Reli wameshaanza kuvunja.wamebakiza kwa mbele tu...nyuma kule kwenye bar wameshapiga chini.

Jengo la Dom liko tayari hivyo wanasepa mjini.

View attachment 2393020
Tuliwaambia hii miradi ya kimkakati ipo cku itakamilika tu na mtakimbia humu, wakawa wanataka tuwaoneshe 1cm ya reli ya umeme, leo wamegeuka wanakuambia watanufaika vitukuu, sasa swali la kujiuliza ni je hao vitukuu hawatokuwa watz au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tofauti ya Wakenya na Watanzania inaonekana hapa, wao wanapost mali za watu binafsi (wazungu, wahindi, waarabu and Somalis) wachache, sisi tunapost mali za watanzania zitakazo wanufaisha watanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakenya hawana akili.
 
Hapo pote panachapwa concrete ya upana wa kutosha kisha utamsikia yule kichaa anasema wanatupita matumizi ya cement [emoji28][emoji28][emoji28]
Labda kuna dunia nyingine sio hii inayozunguka kutoka mashariki kwenda magharibi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo watu wamekula kichapo heavy humu, atatumwa mtu mda c mrefu kuweka picha za kitambo za make up [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…