Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tactic itajenga Mwanza zaidi ya barabara zenye urefu wa kilometers 35 za aina hii, pia litajengwa soko la kisasa la samaki Mkuyuni kama la ferry Dar
View attachment 2392956

Streets nyingi za Mwanza zitakua na lami!
Wataujengea kingo na vivuko vya waenda kwa miguu mto mirongo, hii itabadili sana mandhari sababu huu mto unapita katikati ya mji.
Baada ya miaka 5 kutakuwa na Mabadiliko makubwa maana miradi mingi itakuwa imeisha.

Ikitokea upanuzi wa barabara ya Nyerere na Kenyatta ukafanyika, mji utapendeza sana.
 
Huku bongo barabara kila mkoa zipo na zinaendelea kujengwa, afu kule kenya barabara hata hazionekan zikijengwa, lkn eti wanasema wana barabara nyingi kuliko sis
Huwa nacheka sn wakianza kujilinganisha na Tz kwenye km of paved roads.
 
Umewapasulia mayai ona walivyotepweta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Once upon a time we had JPM [emoji1241][emoji1241][emoji120]
 
Hehehehe watanzania elimu imetusaidia sana, ila naona hii battle inakwenda kufa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Napita hii njia daily kwenye mishe zangu, aisee I can’t wait ikamilike. BRT 3 na 4 zitamaliza kabisa hii ligi na hawa jamaa, then 5 na 6 itatuweka levels zingine kabisa Afrika na wala hatutakuwa tunaongea na watu wanaoomba msaada wa chakula. Infact, miaka 5 ijayo miji yote mikubwa Tanzania itakuwa na level yake tofauti kabisa, hawa ndugu zetu watafute chawa wao wa kuwapambania sababu hawatagusa mahali, iwe ni angani, majini na ardhini hawatagusa mahala, na wala sisemi hivi sababu ya uzalendo wa battle huo ndio utakuwa ukweli.

Yajayo Yanaumiza Macho.
 
Pale stesheni TRC watavunja ofisi. Tayari kwa upande wa Polisi Reli wameshaanza kuvunja.wamebakiza kwa mbele tu...nyuma kule kwenye bar wameshapiga chini.

Jengo la Dom liko tayari hivyo wanasepa mjini.

 
Oy kaka nimepita leo kule stesheni, nimejionea mwenyewe, ujenzi unaoendelea pale mpaka kule kwenye flyover mpya ya bandari (chini inapita reli ya MGR) sio poa kaka .. hii DAR inajengwa buana asikuongopee mtu, tukipiga pamoja na real estate 🤣🤣🤣 hii battle itaisha mapema sana, watakimbia
 
Serikali inapambana kujenga miundombinu, Pesa hazitokuja mifukoni mwetu kama hatutachangamka,

Tatizo naloliona nikubaniana fursa ,Nchi hii kazi zipo nyingi sana sema hadi upate sasa ndio kipengele
 
Huku bongo barabara kila mkoa zipo na zinaendelea kujengwa, afu kule kenya barabara hata hazionekan zikijengwa, lkn eti wanasema wana barabara nyingi kuliko sis
😂😂😂😂 Hakuna miradi mipya..

Mumeanza kukubari taratibu wazee wa Sukuma gang.

Niliwaambia yule taahira wenu aliumaliza miaka 5 hakuna kitu alifanya kwenye barabara..

Mikoa aliyoikuta haina lami aliondoka hakuna hata Mkoa mmja kakamilisha Kwa lami..

Nakuongezea sasa tunajenga kila Kona ya Nchi hii,pesa ipo hakuna futuhi Wala excuses za kujenga sgr na bwawa kama bwana yule,hii ni awamu ya 6 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221015-225314.png
    154.1 KB · Views: 25
  • Screenshot_20221015-225020.png
    136.6 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…