game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,328
- 26,976
Kuna mto umesheheni mavi unatokea huku eastlands unakatiza katikati ya Chuo cha Nairobi, aisee ile harufu ule ukanda ndugu yangu acha.kwa udongo ule mwekundu na wa tope la nairobi,hiyo greenish wataitoa wapi?