Kenya sio fukara kama Tanzania.., hakuna siku Kenya imeshindwa na haitatokea, jinyonge 😂 😂 😂 😂 😂 😝 😝 😝 😝Lipeni to from other coffers since SGR is white elephant and minting losses like an idiotic project 😂😂😂
unaweza kususia kulipa and focus on other issues, haimaanishi umeshindwa kilaza, Kenya mtaikoma, mnabakia fukara wa EAC bana 😝 😝 😂 😂 😂 😂 .., kwa hili meza wembe..,Hamshindwi na mmedefault? unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Overtake where? how? kwa lipi?.., ji overtake kwanza in your minds, ni ukombozi wa akili mnahitaji kwa sasa, hizi fikra zako duh 😝 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Uyo roho yake mby ilianza kipindi kile tunaanza kuwa overtake ila kwa sasa anatamani kulia baada ya kuwapita vby [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamemuua wa nini wakati Odinga siyo Rais na hakufanya vurugu kupinga matokeo?