Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20221013_163048.jpg

The middle finger country
 
Diamond platnumz amenunua nyumba Jozy SA .. boonge la mjengo 👇. Don YF ona vile wasanii wanafanikiwa Tz
na pesa za Raila akanunua ndege pia😂😂😂pia harmonize alipiga show Kenya akanunulia mamake gari!
Sisi waKenya tulishakwenda kwa Acting overseas!!!
#Lupita Nyongo😜Black Panther🔥🔥
Pia kwa wasanii angalia Victoria Kimani sjui uko Ghana kameteka yote Ghana👌
Unamjua Kaligraph Jones???anapambana mpaka na akina Snoopy na 50cents💪
Na Akothee ananunua Darislum yote!!!!!
Pia wasanii wetu Kenya wamefanikiwa😁
 
🤣🤣🤣 Kuna msanii hapo kenya mwenye pesa kumkaribia Diamond.? Hao wasanii wenu ni takataka tu
 
Back
Top Bottom