Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Atakumbukwa kwa mema mengi aliyoyatenda kwa Taifa letu.Aliwaamsha waliokuwa wamelala, walioona hayawezekeni wamekubali kuwa inawezekana.
 
Kama hii ndio organization neno organized litolewe kwa dictionary.
The reason I chose to ignore the blind patriots..., bado wako down bana, never experienced life in an organized place, wengi hawajaishi in anything called organization maishani mwao, ni uswazi ama village tokea azaliwe, ndio maana aerial clip inawachanganya wanashangaa shangaa kishamba, yet haiwezi fika levels za Kenya, huku almost every town kuna organization.., ushambaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilijua tu kwamba hukuangalia video ila now umetazama eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmeweka effect ili paonekane pana majengo mengi but reality [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2385150
Jama ameweka picha za Westlands wewe una circle old CBD tena kwa umbali sana, ujinga ni laana kilazaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kindly circle Westlands pia na upoerHill tuone.., na Eastleigh usisahau, Mimi nitakuletea Dar developed area yote circled in one place.., ngoja miaka hamsini mbele Kisha uje, unaumwa kweli, it's painful, ila vumiliaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…