Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm hii ardhi yao ya dongo jekundu inanikera sana, huwa inaleta vibe la kijijini hivi.
Nimeona kumbe tabia mbaya ya uchafu ipo kwenye damu na haina financial status wala position, imagine hii ni meza aliyokaa makamu wa Rais wa nchi 🤮🤮🤮🤮🤧

Screenshot_20221010-093739.png


 
Kenya ukiona vi apartment viwili vitatu ujue pembeni yake kuna nyumba 10k za mafukara (slums).
image_downloader_1662806085993.jpg
 
Kwa namna ya kipekee kabisa tuwapongeze ndugu zetu Wakenya kwa kufuzu kozi ya ombaomba, hii kitu ni next level, mataifa machache ya hovyo hovyo ndio yamefika huku. Hongereni sana.
Jamaa wanaomba kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo tumewakosesha amani kwelikweli baada ya kuweka mauchafu yao hadharani, jamaa ni wachafu sn hawa.

Wanaona aibu hata kuchangia JF, wanafanya kupita tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii ndiyo CBD yao [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220814-234143.jpg
 
Back
Top Bottom