Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usijikoseshe ufahamu, yaani unajitia hamnazo peupe..,poleni, jibu hakuna, usife moyo mjukuu, mtafika tu🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahyo bado unatetea hizo nyumba za man in number .? 🤣🤣🤣 Duh. Hizo takataka.?
 
Mpumbavu huyo. Tumepost best markets kibao from Tanzania lkn wanajifanya vipofu, eti analeta mabanda mlundiko anaita best market kisa lina mirangi rangi.
Maneno mengi kama kawaida yenu, si unge post moja tu ya Tz to counter, hiyo soko ni Kali wacha kujitia hamnazo, imewauma deadly, Uganda imewanyonga ikija markets.., yaani mnaumwa sana, anything that challenges u mnamwaga povu mingi, domo domo, zero evidence! Ukweli isemwe that market is lit, nyie wenye wivu na roho chafu mko na kinyongo! Wabinafsi kweli!., mnabakia mikia tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
 
Maneno mengi kama kawaida yenu, si unge post moja tu ya Tz to counter, hiyo sojo ni Kali wacha kujitia hamnazo, imewauma deadly, Uganda imewanyonga ikija markets.., yaani mnaumwa sana, anything that challenges u mnamwaga povu mingi, domo domo, zero evidence! Ukweli isemwe that market is lit, nyie wenye wivu na roho chafu mko na kinyongo! Wabinafsi kweli!., mnabakia mikia tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Kwahyo Kati ya Kenya na Ug ni nani yuko na modern markets kumshinda mwingine.? 🤣🤣🤣
 
Kwahyo bado unatetea hizo nyumba za man in number .? 🤣🤣🤣 Duh. Hizo takataka.?
Kiembeni dogo, moja ya estate pale Kiembeni, naona meacha Kiembeni yote mnakimbilia pale na hamupajui😂😂😂😂 yaani in Tz nitalinganisha na uswazi zenu, kwenu hapo ni kwa matajiri, ukweli inauma, kwanza wakati hamuna jibu, mko chini bado, sio dhambi, usijikaze kupingana, mnatia Huruma.., domo domo hadi lini?
 
Kwahyo Kati ya Kenya na Ug ni nani yuko na modern markets kumshinda mwingine.? 🤣🤣🤣
Uganda takes it for me.., and it beats u too.., malls plus markets wako juu yenu, nyie ni watu wa kadogo economy, yani raiya wananunua kutoka kwa machinga, vibanda mitaani na mama ntilie type kwa wingi kuliko hizo markets na supermarkets., mko down sana, mbona liko wazi..
 
Kiembeni dogo, moja ya estate pale Kiembeni, naona meacha Kiembeni yote mnakimbilia pale na hamupajui😂😂😂😂 yaani in Tz nitalinganisha na uswazi zenu, kwenu hapo ni kwa matajiri, ukweli inauma, kwanza wakati hamuna jibu, mko chini bado, sio dhambi, usijikaze kupingana, mnatia Huruma.., domo domo hadi lini?
🤣🤣 Unashindwa kuelewa mahali kijana.. iyo kiembeni ni planned estate ndio ila haina hadhi.! Ni takataka kama takataka zingine, huku Bongo ukiskia planned estate (affordable) ujue ni kamtaa kenye hadhi, sitting plan inakua nzuri, decent Houses and all that.. kwa mfano hii 👇
As-a-unique-alternative-building-technology-ABT-the-Hydraform-interlocking-building-system-was...jpg
Mwongozo10_Feb.+2018(1).jpg
GM_Pr_Kiga-image3(0).jpg
kibada(0).jpg
nadhani unanielewa sasa.. Ila sio huu👇 uchafu alafu unapost humu kwa majigambo 🤣👇
Screenshot_20221008-103033.jpg
hatuelewi ni kambi za wakulima au ni kitu gani..? Ndio mana tunakubeza usipost hizi Aibu ndogo ndogo
 
Uganda takes it for me.., and it beats u too.., malls plus markets wako juu yenu, nyie ni watu wa kadogo economy, yani raiya wananunua kutoka kwa machinga, vibanda mitaani na mama ntilie type kwa wingi kuliko hizo markets na supermarkets., mko down sana, mbona liko wazi..
Sawaa wacha tuende unavyotaka 🤣🤣🤣.. okay tafuta the most modern market in Ug tulinganishe na walau JOB NDUGAI MARKET in DOM tuone
 
🤣🤣 Unashindwa kuelewa mahali kijana.. iyo kiembeni ni planned estate ndio ila haina hadhi.! Ni takataka kama takataka zingine, huku Bongo ukiskia planned estate (affordable) ujue ni kamtaa kenye hadhi, sitting plan inakua nzuri, decent Houses and all that.. kwa mfano hii 👇 View attachment 2381785View attachment 2381786View attachment 2381787View attachment 2381789nadhani unanielewa sasa.. Ila sio huu👇 uchafu alafu unapost humu kwa majigambo 🤣👇View attachment 2381792hatuelewi ni kambi za wakulima au ni kitu gani..? Ndio mana tunakubeza usipost hizi Aibu ndogo ndogo
Hizi nyumba za kishamba mnazo jenga in 2022 ndio ufananishe na Kiembeni kilaza?. alafu it is the best of Dodoma against"Eastlands" ya Mombasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,, yaani mnafananisha na kasehemu pale Kiembeni, alafu mnajikaza kujifananisha na Kenya, man observe lanes, nenda kawaongopee Malawi hivi na akina Mozambique, sio sisi bana.😂😂😂😂😂😂😂😂.,, ama unataka a new estate tuone tofauti?.., dogo usijikaze, nyie bado mnatoka porini., ndio kunakucha Tanzania, vumilia, kidogo mtafika🤣🤣🤣🤣🤣 tuliwatangulia kitambo sana.., ndio maana ikija mitaa ya kawaida kuna tofauti kubwa sana..
 
Iyo inaitwa kinyongo au hasira 🤣🤣 by the way hizo nyumba sio DOM hapo ni ka estate ka NHC kapo huko Kigamboni hapa hapa DAR .. hopefully unanielewa.. usinune ni katika kukuelezea ukweli tu
 
Hizi nyumba za kishamba mnazo jenga in 2022 ndio ufananishe na Kiembeni kilaza?. alafu it is the best of Dodoma against"Eastlands" ya Mombasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],, yaani mnafananisha na kasehemu pale Kiembeni, alafu mnajikaza kujifananisha na Kenya, man observe lanes, nenda kawaongopee Malawi hivi na akina Mozambique, sio sisi bana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,, ama unataka a new estate tuone tofauti?.., dogo usijikaze, nyie bado mnatoka porini., ndio kunakucha Tanzania, vumilia, kidogo mtafika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuliwatangulia kitambo sana.., ndio maana ikija mitaa ya kawaida kuna tofauti kubwa sana..
Unaiogopa Dom mpk ikitumwa tu estate unadhani ni Dom [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
then imagine on a Sunday afternoon, but eldoret is so busy! pple going about their business like any other day.. eldoret is so neat, every corner is so beautiful, the town is just shining..... 💥🔥🔥
20221009_151213.jpg
20221009_143239.jpg
20221009_144227.jpg
20221009_124725.jpg
20221009_141029.jpg
20221009_121222.jpg
20221009_151217.jpg
20221009_141556.jpg
20221009_143237.jpg
20221009_144617.jpg
 
Don YF umetoka na povu jingi sana 🤣🤣🤣 mzee these are some housing proj in DOM done by NHC TZ 👇 naeza sema ndio best kwa sasa kwenye affordable houses in DOM
FB_IMG_1665264482209.jpg
mradi unaitwa medeli residential apartments, kwa sasa Kuna ujenzi utaanza mwezi huu kwaajili ya phase 2.. tazama picha niliona kwa vid fulani 👇
screenshot_20220128-020402_1-jpg.2381817
ni mradi ambao ukikamilika na kutokana na ukubwa wake utaipa taswira nzuri sana new Dom CBD .. mradi mwingine bora ni huu 👇
FB_IMG_1665264419488.jpg
hii kwasasa ndio miradi (affordable ya shirika letu la nyumba) yenye apartments za gorofa na kali ndani ya DOM.. hatupendi kupost hizi habari kwasababu tunajua kwamba mkiskia mnaumiaga mioyoni mwenu 🤣🤣🤣.. Ila kwasasa itawabidi muzoee kenge nyie
 
Attachments

  • Screenshot_20220128-020402_1.jpg
    Screenshot_20220128-020402_1.jpg
    41.7 KB · Views: 25
Iyo inaitwa kinyongo au hasira 🤣🤣 by the way hizo nyumba sio DOM hapo ni ka estate ka NHC kapo huko Kigamboni hapa hapa DAR .. hopefully unanielewa.. usinune ni katika kukuelezea ukweli tu
Yaani ni Dar mnajenga nyumba za kizamani🤣🤣🤣🤣🤣.,
Mombasa ni🔥🔥🔥🔥🔥., Kiembeni ni mtaa wa zamani sana😂😂😂, Mimi sina kinyongo na naijua Tz bana, mnanichekeshaga sana vile lazima muitetee Tz ata kwa kile hakitoshi😂😂😂😂😂😂

Mombasa.., Buxton🔥🔥🔥🔥🔥.,
buxton~2.jpg

zotukfkpihitqrsto5f3c0b9f02589~2.jpg

Itawachukua muda to be where we are kote kote kwa maana hatujasimama.., tunasonga mbele Kila uchao..,
 
Back
Top Bottom