Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Broo kuwa na adabu hii pumzi unayovuta isikupe kiburi
Wewe toa ujinga wako,mtu mwizi,katili na mwongo akifa ni furaha ya Taifa..

Baadhi tuu ya kashfa za wizi mkubwa aliofanya huyo mtu wenu ni hizi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-125637.png
    Screenshot_20220719-125637.png
    151.1 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220719-125655.png
    Screenshot_20220719-125655.png
    43.6 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220520-171316.jpg
    Screenshot_20220520-171316.jpg
    116.8 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220415-072852.jpg
    Screenshot_20220415-072852.jpg
    122 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220415-140726_1.jpg
    Screenshot_20220415-140726_1.jpg
    49.3 KB · Views: 20
  • 1650491737485.png
    1650491737485.png
    60.6 KB · Views: 22
Mambo ya Magufuli hayo, legacy never die
Unfortunately hakuna mahala Legacy yake itakuwepo huko Kigoma.

Alikaa miaka 5 madarakani bila kuweka japo km 5 ya lami Kigoma ilinkuendeleza alipoachia JK..

Na sasa historia itamuandika Rais Samia Kwamba ndani ya mda mfupi kaifungua Kigoma sio tuu Kwa kuijenga hizo km 200 bali anajenga na barabara ya kuingiza Burundi,anajenga Kuunganisha na Tabora Kupitia Uvinza,anajenga Kuunganisha na Katavi na zote zitakuwa zimeisha kufikia 2025..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221007-122404.png
    Screenshot_20221007-122404.png
    232 KB · Views: 21
Kitooro market in Entebbe is the best modern market in the region.

Kitooro-Market-entebbe1.jpg
Soko liko wapi hapo sijaelewa, mabanda yamerundikwa hovyo hovyo hawajazingatia standard za soko, labda ni the best market kwa standard za Kunyaland, soko linatakiwa liwe na nafasi kubwa. Alafu nyie Wakunya mbn cku hz mnaiogopa sn Uganda? Au kwasababu wamewatisha wanataka kuja kuwatawala?
 
Uganda kuanza ujenzi wa Ofisi za Balozi wake Dodoma 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221007-151409.png
    Screenshot_20221007-151409.png
    152.9 KB · Views: 21
The Rufutop #Ukungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waziri wa Ulinzi Bashungwa aanza Kazi rasmi kwa kukabidhi mitambo ya kilimo kwa JKT 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221008-152345.png
    Screenshot_20221008-152345.png
    151.9 KB · Views: 20
Fungueni nchi kwa wakenya muone kazi mkikosa[emoji1787]
Kwani nchi ya Wakenya hii? Kila mtu akale alipopeleka mboga, co cc tupate tabu kuijenga nchi yetu alafu kirahisi rahisi eti nyie mje, pambaneni na hali zenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rais Samia hajawahi fanya ziara za hasara hata siku moja..

Ukiona amenyenyua mguu wake Nje ya Nchi ujue ni pesa na biashara tuu 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221007-123744.png
    Screenshot_20221007-123744.png
    123.8 KB · Views: 21
  • Screenshot_20221002-143521.png
    Screenshot_20221002-143521.png
    116.2 KB · Views: 24
Umehamisha goli tayari [emoji2][emoji2][emoji1787]
Nimehamisha aje magoli na hatukuwa tunadiscuss masoko leo? Not really, tulipost masoko yetu humu mkaona soko la Wakulima halina equal hapo bongo. Leo napost tu Uganda kama vile wengine humu wanavyopost nchi zingine once in a while. Hili soko liko poa yani - well designed to cater for the normal traders - neither crowded or too fancy to only attract the fancy stalls.
 
Nimehamisha aje magoli na hatukuwa tunadiscuss masoko leo? Not really, tulipost masoko yetu humu mkaona soko la Wakulima halina equal hapo bongo. Leo napost tu Uganda kama vile wengine humu wanavyopost nchi zingine once in a while. Hili soko liko poa yani - well designed to cater for the normal traders - neither crowded or too fancy to only attract the fancy stalls.
Sasa kwaakili zako hizo mabanda zinaweza rival Tz standards likija suala la modernity kwenye masoko.?
 
Back
Top Bottom