Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_2172.jpg
 
Kuna mbwa atakuja akuambie aliye design ni mkunya ila kwa bahati mbaya akafanyiwa mtima nyongo hajawekwa kwenye vitabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii ndio cream de la creame Mombasa can offer 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂tafuta size yenu🤣🤣, Kiembeni, Bombolulu, Bamburi, and the likes ni "Eastlands" ya Mombasa kilaza, eti creme🤣🤣🤣🤣 umehara tayari🤣🤣, inauma sana, mtaa wa kawaida kwako ni creme de la creme,🤣🤣🤣🤣🤣 mnajitoa ufahamu, raha sana🤣🤣🤣,, creme de la creme ya Mombasa ni maeneo ya Nyali, Tudor, Kizingo, na kuelekea outskirts, bado hamjaona Mombasa, ni 2022, Kenya sio size yenu..,nawanyorosha na facts mnajibu kwa domo domo, zero facts🤣🤣🤣🤣😂😂😂
 
Back
Top Bottom